keulankubha
Member
- May 7, 2012
- 49
- 13
Ndugu watanzania kunajambo linanitatiza/linaumeza moyo wangu pia na watanzania wazalendo na wapenda amani kwa ujumla katika nchi yao. Nijambo la kusikitisha sana pia linanipa maswali magumu/mepesi ambayo yanalarua moyo wangu. Najiuliza maswali kama ifuatavyo:-
Inawezekanaje mkuu wa wilaya na mkurugenzi kukubali unyama unaoendeshwa na watu watatu katika wilaya. inamaana wako mifukoni wa watu hawa watatu. Kashunju Runyogote (diwani na mwenyekiti wa Halmashauri), Eustace Katagira (Mbunge wa Kyerwa) na Danieli Damian (Mfanya Biashara) kuwa wao ndio wakuu wa wilaya ya Kyerwa waliobaki ni viini macho. Mkurugenzi wa wilaya ya Kyerwa Ndg George Lucas Mukindo kitendo cha kuamuliwa na Kashunju Runyogote kushinikiza mkurugenzi kwa shingo upande, tena nje ya muda uliowekwa na sheria kuhusu mapingamizi. Pia nayeye kwa udhaifu wake Mkurugenzi George Lucas Mukindo anaulizwa kuhusu tuhuma hizo anajibu kuwa wenye nchi wameshasema. Nitaongeza nini. Huu ni udhaifu mkuwa kwa viongozi wa wilaya pia na wale walio wateua. Serikali nijumku lenu kuangalia hili jambo kabla haijawa mbaya zaidi. Kinachotakiwa hapa ni serikali ya juu sio wilaya au mkoa maana serikali ya wilaya Kyerwa na mkoa Kagera tayari viko mifukoni wa watu watatu. Sasa serikali ya Taifa nayenyewe ituoneshe kama iko mfukoni wa watu hawa watatu tujue kabla mambo hayajawa mabaya zaidi. Najua kawaida serikali nnayo kauli ya kuwa wananchi ndio serikali sasa tukifikia maamuzi ya wananchi kuwa serikali hatutakubali kunyanyaswa tena tumechoka. Lililopo serikali ikishindwa kuwachukulia hatua zaidi watu hawa sisi serikali ya wananchi tutajua la kufanya zaidi yao. Haiwezekani watu watatu kujifanya mapapa wa wilaya nzima. Tutawaonesha uwezo wa dagaa wanavyo weza kushambulia papa na papa hasipate sehemu ya kujitekenya wala kupumua. Kwakweli mambo yanayoendelea Kitoma yanatisha na yanatia aibu utandani hamna serikali. Watu wameteswa kwasababu ya kuchagua wapinzani sasa niwajibu wetu kujiami. Pia niwaombe viongozi wa upinzani ili jambo kutolichukulia mzaa maana ni hatari sana linaweza kutufikisha pabaya. Tunajua kuwa serikali inao askari polisi na jeshi lakini huakika nilio nao sidhani kama wataweza mziki huu ukianza. Kila vifaa vya jadi na kila aina vitatumika Kyerwa kama vile mishale, mikuki visu nyundo najembe, shoka na vingine vingi ni siraha tosha. Kumbuka kila mmoja akijiandaa vilivyo sidhana kama polisi wanaweza kupona, dolia ya kila mtu itakuwa mashambani, nyumbani kwake na kimya kimya. Huu ni unyama Kashunju Runyogote na wenzake wanayo yafanya. Watu wapo rumande ya Polisi na faini ya bati tatu au 50 elfu. Ili uachiwe huru je uhuru wetu wa demokrasia uko wapi? Huyu mtoto aliyefaliki kifo cha kutatanisha baada ya wazazi wake kuwakimbia polisi atimaye wakakamatwa na kupelekwa rumande ya polisi. Pia mtoto wao kuzikwa bila hata mzazi mmojawapo kuwepo kwa kushinikizwa la serikali ya Kashunju Runyogote wananchi wazike. je kweli hii inaingia akilini? Serikali kuu mko wapi? Haki za binadamu mko wapi? Wazazi wa mtoto wako Rumande ya Polisi serikali ya Runyogote na wenzake wanatoa kauli ya kuzika. Haraka ilikuwa ya nini? Kifo hiki kichunguzwe ingawa wawazi wamekuwa woga kuliongelea hili kwa kuogopa Mapapa wa wilaya ya Kyerwa. Yule mtoto sio wa wazazi wake tena bali sisi wananchi na watanzania tunataka swala ili lichunguzwe na kuchukua hatua zaidi kwa wahusika wa kifo hicho. Sasa ni vita katika wilaya ya Kyerwa na Mapapa wa wilaya kwa kuwatisha watu watakao lalamika mahakamani kuwa watafilisiwa. Pia vitisho vya namna hii yawezekana ndivyo vinavyosababisha watendaji wa serikali kama mkuu wa wilaya, mkuu wa polisi wa wilaya kukaa kimya wakilinda vibarua vyako. Niwaombe mamlaka zinazo husika kuchukua hatua sitahiki katika swala hili.
Maswala ya kisiasa tuweke pembeni tuangalie mstakabali wa taifa letu.
Chanzo cha habari hii Gazeti la Mawio alhamisi tarehe 1 january 2015
- Je hii ndio Tanzania tunayoijua katika enzi za mwalimu Nyerere?
- Je nchii inaelekea wapi?
- Je watu tuliowapa dhamana ya kuongoza nchi hii kweli walikuwa wanasitaili?
- Je nchi hii inaendeshwa na sheria au la?
- Je viongozi/watawala wetu wamekuwa wendawazimu baada ya kututoka Mwalimu Njerere?
- Je kweli kuna uwezekano kuwa serikali inaweza kuwekwa mfukoni mwa mtu akatembea nayo na kijigamba?
- Je viongozi/watawala wa nchi hii wanajitambua kuwa wao ni watawala ua la?
- Ndugu watazania naomba mniwie radhi kama nimewaudhi na kuwakela maana hata mimi nimekeleka na mambo yanayo endeshwa katika nchi hii.
- Nijambo la kushangaza kabisa kama kweli mheshimiwa Rais Jakaya Kikwetwe atakuwa na upeo mdogo kiasi hiki katika uteuzi wake wa wakuu wa mikoa au wilaya na wakurugenzi wao pia?