Wakuu Salama..Mimi nimejikuta naenda umbali mrefu sana mara Kwa mara Hasa mijini na kazini Hadi wakati mwingine nawaza nami hata kuwa na ka Vitz ka cc 990 au ka IST au susuki swift..Kuna saa natembea Hadi naona miguu inaingia tumboni na mafurushi Yangu mkononi.
Pia kwenda ibadani nikiwa na...
Maisha ya kileo wapo wengi wanajuta Kwa sababu ya maamuzi waliofanya wakati wa kuoa ila Sasa hakuna namna ya kufanya kwani walishazaa watoto inawabidi waishi maisha yaende basi.
Wanawake wengi wa siku hizi waeza toka kuitafuta riziki tokea asubui na kurudi jioni na furushi lako mkono ila kamwe...
Hii ndio habari Donald trump aliyokuwa anasema Leo kwenye Aljazeera ...je Kuna ukweli wowote kuwa china..Korea ya kaskazini na urusi hawaiogopi tena marekani na kwamba mareka IPO katika hatari dhidi ya hao
Vip kama nimehama kutoka nyumba nyingine kwenda nyingine lakini nyumba ya kwanza ilikuwa na Mita yangu na nimeiuza hio nyumba nikanunua nyumba ingine yenye Mita ingine..je ninaeza kuchukua Mita yangu ya mwanzo nikahamia nayo nyumba ya Sasa Kwa maana inajina langu..?
Tajiri mmoja huku Ngaramtoni, Arusha anaejulikana kama Gidioni amejinyonga nyumbani kwake majira ya saa kumi na moja alfajiri.
Tajiri huyo mwenye maduka ya hardware na nyumba kalikali za kupangisha huku Ngaramtoni ameamua kukatiza uhai wake bila mtu yeyote kujua tatizo lililomsibu.
Kwakweli...
Sijaelewa umesemaje..inamaana huo waya wa out put Toka kwenye kingamuzi ndio naupeleka kwenye splitter alafu kutoka kwenye splitter ndio nipeleke kwenye tv au
Jamani ninaomba kujua jinsi ya kufunga splitter Ili nitumie TV zaidi ya moja Kwa kutumia kingamuzi Cha azamu..swali langu nikuwa splitter naunganisha kwenye output way wa kingamuzi au wapi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.