Alichosema Trump kuhusu Marekani, Je kuna ukweli?

Alichosema Trump kuhusu Marekani, Je kuna ukweli?

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
510
Reaction score
663
Hii ndio habari Donald trump aliyokuwa anasema Leo kwenye Aljazeera ...je Kuna ukweli wowote kuwa china..Korea ya kaskazini na urusi hawaiogopi tena marekani na kwamba mareka IPO katika hatari dhidi ya hao
IMG_20240808_213852_421.jpg
 
Trump mjanja mjanja Sana ameona popularity ya Kamala kwenye kura za maoni inakuaja Kasi ameona utumie maneno yatakayo washawishi wamerikani wamchague,na anamualika Kamala kwenye mahalo na anasema alimtindika Rais na anamtaka mukamu Kamala Harris wote wapate dozi kutoka kwake
 
Back
Top Bottom