SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,040
- 8,895
Kabudi Yuko wapi siku hizo. Nimeuliza TU?
Kabudi Yuko wapi siku hizo. Nimeuliza TU?
Huyu kifo chake kimesababishwa na ajali ya gari. Malimao yangesaidia nini hapo mkuu?Wale sana malimao na tangawizi
Ndio. Na jina linaelekea huko.Hii sura kama mhaya
USSR
Umesoma informatics ndugu...hongera Sana ..yani Sitokaa nisahau mateso ya informatics...somo la programing... Mohamed dewa...duhAlikuwa Dean wetu informatics UDOM
Alikuwa lecturer wa courses za Telecom , alinifundisha antenna
Alinisaidia sana katika kujiunga na chuo cha UDOM, yeye pamoja na Prof. Msele!daah.. namkumbuka sana aliwahi nipa ushauri muhimu sana enzi hizo alikuwa mtu poa sana
Wale sana malimao na tangawizi
Atakuwa anamalizia utafiti wa kitu cha madagascar...Kabudi Yuko wapi siku hizo. Nimeuliza TU?
Dah wewe shetani una ukabila balaaaHii sura kama mhaya
USSR
Baba D anasali kabla ya morning glory?Ukiwaambia wasali kuna watu watakubeza hapahapa
Ila akili tulizopewa wanadamu zinapofika ukomo ukuu wa Mungu ndio hujidhihirisha
umeishi usukumani mzee?Hata za kisukuma ziko hivyo hivyo.
wewe ni mlokole?Ukiwaambia wasali kuna watu watakubeza hapahapa
Ila akili tulizopewa wanadamu zinapofika ukomo ukuu wa Mungu ndio hujidhihirisha
Kuna watu wanasema ili uwe profesa lazima ugundue kitu...tafuti za maprofesa zinapatikana mitandaoni?nataka nizisomeUwe na PhD, pia uwe mwalimu, mtafiti, mwandishi nguli katika vyuo vya elimu ya juu.
Ukiwa mtafiti lazima utakuwa mgunduzi tu.Kuna watu wanasema ili uwe profesa lazima ugundue kitu...tafuti za maprofesa zinapatikana mitandaoni?nataka nizisome
vitu gani vimegunduliwa na maprofesa wa bongo?Ukiwa mtafiti lazima utakuwa mgunduzi tu.
Tela la trekta, mashine ya kupigia nyungu n.kvitu gani vimegunduliwa na maprofesa wa bongo?