Ah jaman hii nchi yaan nataman nihame kabisaa" wanipe changu kiasi chochote kile nifanye bauli nikaishi na wanadam huko nch za wenzetu" looh this country it is rotern bw loooh
Mmh bang feg mchanganyie kuber kisha mmix mix kwa maneno ya kihun" ataongea nni huyu nature bungen" au siku hizi na bungen kuna show za bongo fleva hukoo" bungen jaman kugum sana tena sana huy nature na afande sele waendelee tu na mibang yao
Aaaah nyie mbna kila sku zitto tu kwan hakuna vingoz wengine wenye madhambii mbna wapo kibao yaan kila cku zitto zitto tuambien basi na nyepesiiiiii hiyo tuijueee eboooooo
Jamaaalietoa hii post hajakosea na mnaopinga hayajawakuta" issue iko hivi pind mnapotongozana wote huwa mnaficha makucha na kila mmoha kuonesha kama anampenda sana mwenzake lakin mtu wa kwanza kumuudh mwenzaje pind ujauzito anaposhika mwanamke ni mwanamke kwa kuwa na jeur moja ya kuona sasa...
Sonen vizur habar" shekhe halog wala hana uchawi ila kusudio lake ni kushitaki kwa mwenyez mungu atoe hukum kama kwel shekh anahak ni lazima iwatafune wote waliogusika lakin kama ha na hak basi ni lazima imrudie mwenyewe shekh albadir x dua ya kitoto " chezea dua zote lakin si albadir kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.