Recent content by keshokutwa

  1. K

    Wakazi wa Arusha, ni shule zipi zilizopo kata hizi?

    KATA ZA ARUSHA MJINI.... Baraa * Daraja 2 * Elerai * Engutoto * Kaloleni (Arusha) * Kati (Arusha) * Kimandolu * Lemara * Levolosi * Moshono * Ngarenaro * Olasiti * Oloirien * Sekei * Sokoni I * Sombetini * Terrat * Themi * Unga Ltd Nisaidieni hizo ni kata sa Arusha mjini....Nisaidieni shule za...
  2. K

    Airtel mmewakosea nini serikali mbona mabango yenu yanakusanywa

    Leo katika pitapita Mjini Arusha nimekutana na Gari ya manispaa ya Arusha pamoja na mgambo na Maafisa fulani sijawafahamu ni wanahusika na nn wakikusanya mabango ya Airtel yale yaliyoandikwa Airtel Money kwenye maeneo ya Baiashara za watu KULIKONI KUNA NINI??????
  3. K

    Pata blogu ya kupendeza kwa 15000/=

    Nicheki mkuu....nahitaji
  4. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Watu tunapanga foleni masaa utadhani tunaenda kuomba huduma
  5. K

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tawi lenu la Ngarenaro Arusha Huduma ni hafifu haswa...haiwezekani tellar 2 ndo wanafanya kazi ....meneja uko wapi
  6. K

    Mzigo Mpya: Power Bank za Laptop

    Picha?????
  7. K

    Hivi Ali Kiba alistahili kuchukua tuzo 5 za KTMA?

    Majina ya washindi wa tuzo za ktma 2015 1. Kikundi bora cha mwaka - bongo fleva - yamoto band 2. Kikundi bora cha mwaka taarab - jahazi modern taarab 3. Bendi bora ya mwaka - fm academia 4. Msanii bora chipukizi - baraka da prince 5. Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya kitanzania (waite)...
  8. K

    Daftari la kuandikishwa wapiga kura laahirishwa Mkoa wa Arusha

    Ndo hivyo...Haujulikani nani kahairisha...nimetoka kwenye kituo muda huu Maelezo tuliyopew undo hayo
  9. K

    Daftari la kuandikishwa wapiga kura laahirishwa Mkoa wa Arusha

    Daftari la Kuandikishwa wapiga kura laahirishwa Mkoa Wa Arusha, Zoezi limehairishwa Jana SAA 10.Na hakuna sababu za msingi za kuharishwa.
  10. K

    Niulize juu ya ugonjwa wako nikwambie tiba ya maji ya matunda za mboga za majani

    Natokwa na damu kwenye fizi kila nikipiga mswaki
  11. K

    Pochi za kisasa zinauzwa

    In terms of USD Dollars is 23, but T shillings 45000
  12. K

    Kwanini wanawake wembaba ni wasumbufu sana kwenye mahusiano?

    Ni mida sasa natafiti hiki swala la wanawake wembamba na wadogo wadogo ni wasumbufu na pasua kichwa kwenye mahusiano ya kimapenzi.Wanakuwa waongo waongo swaga nyingi yaan hata nashidwa kuelewa....hebu nisaidieni hili swala
  13. K

    Kwanini wanawake wanapenda kukumbatiwa na wanaume kwa nyuma?

    Ili akudanganye na kukuibia vizuri
  14. K

    Nimeokota vyeti vya Baraka D Ninarwo, anayemfahamu Tuwasiliane

    Kama mnaweza post magrup zingine Kuna mtu kaokota vyeti vya shule na chuo vya Ndg. BARAKA D. NINARWO kwa yeyote anayemfahamu amwambie apigie simu no. 0767 66 24 86 ili apewe vyeti vyake Tumaini na ikizu sec. Na butimba ttc. nimetuma kama nilivyotumiwa
  15. K

    Daladala za Arusha kwa mrombo zagoma, abiria watembea kwa miguu kuja mjini

    Lakini Baadhi ya Barabara kama ya Ngaramtini mbona wanafanya Kazi?
Back
Top Bottom