Recent content by keshaulo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NSSF

    ushapigwa kaka ,hio imeisha
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Dar es Salaam kukosa umeme Oktoba 24 & 25, 2022, TANESCO yasema kuna maboresho ya mitambo

    mama kashindwa kukuna nazi ili aunge mboga ya kisamvu .
  3. K

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya Dar es Salaam kukosa umeme Oktoba 24 & 25, 2022, TANESCO yasema kuna maboresho ya mitambo

    halafu wanajua kuwa wakikata huku city center zitapigwa kelele ndo maana tunakatiwa sie mburula.
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani wakisusia Ubunge/Udiwani, nini kitatokea? Hasara au faida?

    ushaambiwa hakuna connections,km hakuna connections no maendeleo, ikiwepo conection maendeleo yatakuja hizo ndo faida na hasara zakenadhani umeelewa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Naomba tumsaidie Joyce Kiria wa wanawake live. Anabomoa msingi wa taifa Bora

    Huyu Dada sio mwanasaikolojia, anacho fanya nikushawishi watu waone kama ndoa ni mzigo na hivo ukikwazwa kidg tu uondoke,la hasha haiko hivo, yeye katoka kwenye ndoa kwa sababu zake binafis so anatka wote watoke kam yy NO,kama umefunga ndoa ya KIKistru hyo yako mpakam mauti! kwanza beki 3 wapi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jijini Dodoma maji dumu shilingi 1000

    KAMA URAYA VILEEE
  7. K

    JamiiForums Tanzania DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Kwenu Dawasa, kwanza nawashukuru eneo nilipo napata maji bila shida,ila kuna tatizo moja inabidi mlifanyie kazi nadhani hii ni Customer care unit, kwa kweli ni makwazo sana na fedheha mtaani, mimi ni mteja wenu nalipa bill kila mwezi na sijawahi kulaza au kuacha kulipa, napata bill kwa wakati...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watalaamu wa magari

    Naomba kujua RPM (rotation) inapaswa kuwa ktk 0 au 1 wakati gari imesimama? Na je, km ni 1 hapo si kuna tatizo?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Usinge, Kaliua: Majambazi yavamia na kuua mtu mmoja

    usinge ndio wapi?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwenu mafundi nyumba

    Hivi naweza badilisha chuping ambayo ipo kwa nyumba? yaani naifuta kwa skimming? ili nipige rangi kawaida.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo mkubwa Kimataifa wa Tundu Lissu na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo

    INAONYESHWA NA CHANNEL GANI? WASIJE KATA UMEME TU.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    dah jamaa hakutegemea majibu alioyapata.
  13. K

    JamiiForums Tanzania MUONGOZO: Mambo ya kuzingatia unaponunua gari lililotumika ndani ya Tanzania

    Hakikisha anaekuuzia anakupa ID yake yyote ile, na mkataba ndio unaeza fanya transfer.
Back
Top Bottom