Recent content by kerezange

  1. K

    JamiiForums Tanzania Zitto: Malipo ni hapa hapa duniani, Viongozi wastaafu wapo wapi wamuonye rais Magufuli?

    mkuu umekula nini?, unaongea hueleweki?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Dawa nzuri ya ugonjwa wa ndui wa kuku

    Kwanza ondoa neno vifaranga vyako...hakuna siku mwanadamu atakuwa na vifaranga... baada ya kukutaka uondoe neno hilo.. basi chukua dawa "ekeghaka"au alovera kama mnavyoita ninyi wasomi....basi twanga kisha changanya na maji ili wanywe na kamwe hutaona hilo tatizo LA ugonjwa wa ndui tena!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Zamu ni ya wanawake....nampendekeza Anshuta mshama
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kwa sasa ni zamu ya wanawake au mmesahau?namchagua Anshumta mshama...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Huu ndio maana huwa naita ujinga uliozidishwa!! Kama ni vyeo unavitaja hapa kwa nini usituambie na wewe cheo chako?
  6. K

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa anasambaza habari za uzushi za kifo cha Mkuu wa Majeshi atiwa mbaroni

    Picha tafadhari au hakuna ulazima na mapango ya amboni kule tanga?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa NCCR - Mageuzi Watoa Tamko, Waikosoa UKAWA

    Nenda mama wengi watangazaji baada ya wewe...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    mnataka kujua ila ni ya ukawa ili ikusaidie nini
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Kwa maana nyingine polepole aanataka kuniaminisha kwamba tutafute wapinzani toka nje ya nchi au anamanisha nini?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkinga Leo Star TV anajichanganya mwenyewe akimponda Lowassa

    Mzee nkinga bado anata kuwa at a weza kusema nchi hii...zaidi sana anaweza kuwa akifanya siasa ndio atafanikiwa kumbe kwake siasa zike za miaka ya nyuma
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Charles Mwera ni M/kiti wa CHADEMA Tarime?

    Wewe uko mfukoni mwa nani? Mwa Liz....
  12. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Kibajaji ashauriane na wenzake wakina...kuufyata
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ngoma ikivuma saana mwisho hupasuka, CHADEMA "INATUHUSU'

    kwa maana kwamba ulikubaliana nao kuwa Rais anayemaliza Muda wake alikuwa dhaifu?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Bana yupo Clouds Tv live

    mh.unawakosea makondacta,kwanza sio wavivu wa kufikiri kama Hawa jamaa...Ebu waombe radhi kama Kuna uwezekano!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    sawa tutangazie
Back
Top Bottom