Dawa nzuri ya ugonjwa wa ndui wa kuku

Dawa nzuri ya ugonjwa wa ndui wa kuku

ILLUNGU

Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
35
Reaction score
7
Naomba kujuzwa dawa nzuri ya asili ya ndui kwa vifaranga maana vifaranga vyangu vimefariki
 
Ipo chanjo ya ndui mkuu ambayo wanapewa wakifikishwa siku 35 unawachoma kwenye mabawa
 
Naomba kujuzwa dawa nzuri ya asili ya ndui kwa vifaranga maana vifaranga vyangu vimefariki

Kwanza ondoa neno vifaranga vyako...hakuna siku mwanadamu atakuwa na vifaranga...

baada ya kukutaka uondoe neno hilo.. basi chukua dawa "ekeghaka"au alovera kama mnavyoita ninyi wasomi....basi twanga kisha changanya na maji ili wanywe na kamwe hutaona hilo tatizo LA ugonjwa wa ndui tena!!
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Back
Top Bottom