Bado mkuu hujasema ukweli, hivi nawezaje kutaka kumkumbuka mwalimu nyerere kwa kuweka picha ya jomo kenyata? Je nitakuwa namkumbuka jomo kenyeta au nyerere? Yesu na maria hawana picha wala sanamu, hivyo wale walichukua picha za wengine na kuziweka pale.
Ilinunuliwa boti ya kutoka posta hadi bagamoyo. Hatujapewa mrejesho tunaomba mrejesho kwanza ndio tuangalie swala la kutumia tena pesa zetu kununua boti ya posta mbagala.
Ni vyema ikiisha pita mwaka mmoja ndio useme hayo maneno kwa kile utakacho kiona kiliongelewa kifanyiwe kazi kisha hakija fanyiwa kazi kwa % lakini sio jambo liongelewe ndani ya mwezi unaanza kusema hivyo.
Hilo linafahamika na ndio maana wameamua kuweka kamati ili kubaini hayo yote kisha kuyafanyia ufumbuzi. Tusiwe wepesi kuweka sababu ilimradi ionekane haiwezekani wakati swala hilo linawezekana.
Imeundwa tume chini ya ofisi ya waziri mkuu yenye kushughulikia miundombinu ya kuwaamisha wizara moja baada ya nyingine kwa utaratibu maalumu baada ya makazi na maofisi kuwa tayari atahamishwa mmoja baada ya mwingine kwa njia ya basi au treni.
Kuwa msikilizaji mzuri wa vyomba vya habari, ilifafanuliwa hivii imeundwa kamati chini ya ofisi ya waziri mkuu kwa aajili ya kuandaa miundo mbina ya kila wizara zitakazo hamishiwa dodoma hivyo atahamishwa mmoja baada ya mwingine kwa basi kama mko wachache na kwa treni kama mko wengi ni kulingana...
Red royol wanazo mbegu ambazo sio f1 kopo linaanzia elfu tano gram 100. Na malikia wanazo mbegu f1 kopo elfu kumi na tano gram 50. Kanunue kisha ukapande utaona matunda yake.
Mashine ya kupulizia dawa (solo) linauzwa 35000/= lenye ujazo wa lita 16. Kwanini usinge nunua ili kupunguza cost nyingine? Mimi nalima kipindi cha kiangazi na wala sio masika, pia ukizungumzia kuhusu nyanya bado ukungu na utitiri mwekundu hushambulia.
Na kulima nyanya ni gharama kuliko bamia...
Huyo malaya anae takiwa apigwe mawe kwani alikuwa akijifanya mwenyewe tendo la ndoa (kujisaga) au alifanya na mwanaume. Kama ni hivyo wapigwe wote maana wameshirikiana
Sheria hiyo haikutungwa na wabunge bali ililetwa kama mswaada na flani flani katika bunge kisha kupitishwa haraka haraka kwa kigezo cha ifanye kazi mapema uchaguzi unakaribia, kisha wakadai wataifanyia marekebisho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.