Recent content by kepha_006

  1. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Ni nini sababu ya binadamu kuletwa Duniani?

    Hoja yako kama ina kitu mkuu
  2. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe jinsi Hayati Magufuli alivyokataa pesa za Matajiri akiwemo Mzee Mengi katika kampeni zake

    Mwambaa alikua sahihi sana na sio huyu kijuba
  3. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

    Mark my words:kuna mwingine anafata soon🔐
  4. kepha_006

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kutembea na mke wa mtu, mlianzaje na baadaye ikawaje?

    Leta chako mkuu Ila mke wa mtu haliwi,ni mwiko nakukanya sio tabia za mwanaume aliyekamilika
  5. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Hawa ni baadhi ya members wa JF wenye uwezo wa kufikiria nje ya boksi

    Sema huu mwandiko wako umekaa kinoko kinyama mkuu
  6. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Kazi zenye changamoto ya kutoboa

    Mawinga kkoo, tuulize mkuu alafu ndo comment ihusike
  7. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Waogope na waepuke sana watu wenye wivu, avoid resentful people at all costs

    Wino wako umeutumia vibaya kamanda Alafu mbona kama unajitangaza kuwa wewe ni mchele😂😂😂 Au wananyuzi nyie mmeonaje?
  8. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daaah go ahead eagles 🙆
  9. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

    Duniani kuna watu zaidi ya bilion 7 soon tutafika 8 Kati ya hao watu asilimia zaidi ya 80 wanaamini uwepo wa Mungu na utendaji wake Mungu kukupa option ya wewe kutenda dhambi na ukaishi si kama hawezi kukuadhibu mara moja tu pale unapotenda lakini huwa anakupa muda wa wewe kurepent ndo maana...
  10. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

    Dooooh Hakika wewe ni kiazi mbatata
  11. kepha_006

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu Mwaka nimekutana na Mwanamke wa ajabu sana. Hii dunia tuwe makini

    Hahaahha
  12. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

    Mechi ipi ulimfunga barcelona
  13. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Tupostie Kitu/bidhaa/chombo/mali Unayouza upate wateja leo

    njoo nikuuzie hii kitu 45,000 tu.. Dare to listen🔥🔥🔥 ☎️0736156200 Calls only
  14. kepha_006

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kufungua mnyororo wa umaskini kwenye miaka yako ya 30?

    Mfiwa kafa Jikaze jombi🔥
Back
Top Bottom