Recent content by Keo Chama

  1. K

    Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

    Laiti kama ktkb Laiti kama ktk mwenendo wa mashtaka pamoja na hat ya hukumu wameandka kuhusu ile taarifa ya daktar wa milembe aloitoa kuwa mhusika wkt anatekeleza mauaji hayo vipimo vinaonyesha alikuwa na matatzo ya afya ya akl bac mapema sana pale court of appeal baada ya miaka 2 tu mnamkuta...
  2. K

    Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda

    Kwenu wakuu habari zenu Mimi kijana wa miaka 25 Elimu form six Nahitaji msaada wa kupata pikipiki ya mkataba kwa ajili ya kazi ya boda boda kijiwe changu kitakuwa kariakoo Uaminifu ni mkubwa hata ukitaka kupelekwa inapokaa familia yang yaan wazaz na wakanizamin nipo tayar Mawasiliano 0685176087
  3. K

    Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

    Nilisoma shule ya jesh jina kapuni so kulikuwa na askar mmoja ana mwili mkubwa na c. Unajua walimu huwa kwa wanafunz wana majina yao ya utan so tulikuwa tunamuita jambo kubwa ingawa mwenyew hakufaham na kama alifaham alikosa ushahd so cku iyo aliniagza nikawaambie wanafunz wenzng kuwa ikfika saa...
  4. K

    Nahitaji pikipiki ya mkataba au kazi yoyote halali

    Kwenu wakubwa kwa mwajina Hamisi Ally Elimu kidato cha sita (06) Makazi: Dar,mabibo Miaka:25 Kijiwe:kariakoo Mwenye connection itakayoniwezesha kupata pikipiki ya mkataba naomba tuwasiliane 0685176087 Maisha ni kupeana fursa Pia kama kuna ajira yoyote nipo tayari kufanya
  5. K

    Je, mshitakiwa anaweza kuomba mahakamani ili kesi yake ihairishwe siku hiyo

    Naomba msaada wa kisheria. Ukiwa kama wewe ni mshitakiwa ambapo kesi yako imeshatajwa mara mbili na ulitokea ikahairishwa hadi muda mwengine ndo ianze kusikilizwa, ndani ya muda huo wewe hautakuwa na muda sababu ya jambo lako binafsi (sio lazima niliweke hadharan), ambalo haliwezi kukubaliwa na...
  6. K

    Plot4Sale Kiwanja chenye vyumba viwili kinauzwa Kibaha kwa Mathias

    Kiwanja kinauzwa kibaha kwa mathias17*17...Hakuna gharama za kukiona ni bure Gari hadi ndani.. 0613008960 KM 3 tu kutoka Morogoro road hati ipo Maji na umeme vipo shule ipo pamejengeka hamna mapori na pamechangamka Kipo pembezoni mwa barabara ya mtaa Wahi mapema mwenyewe ana shida ya...
  7. K

    Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta A mpaka Goba mpakani

    Hicho apo mita 17 kwa 20 milion 5 maji umeme vyote vipo gar had ndan .... 0613008960 Kibaha kwa mathias
  8. K

    Nahitaji Mkopo wa milioni 6 kwa dhamana ya kiwanja

    Je umefanya reseach ya thaman ya viwanja eneo hlo hyo ni bei ya shda
  9. K

    Nahitaji Mkopo wa milioni 6 kwa dhamana ya kiwanja

    Mkataba tutakaoandkshana nkshindwa kulipa ndan ya mda huo unauza nahtaj mkooo wkt pia nahangaikia kukiuza ndo ninachomaanisha
  10. K

    Nahitaji Mkopo wa milioni 6 kwa dhamana ya kiwanja

    Nauza ila nahangaika pande zote zote popote nitakapopata msaada ili tu nijkwamue
  11. K

    Nahitaji Mkopo wa milioni 6 kwa dhamana ya kiwanja

    Nauza m8.5 ila kama ipo pungufu tuongee nioo ktk deep situation
  12. K

    Nahitaji Mkopo wa milioni 6 kwa dhamana ya kiwanja

    Habarini ndugu Nina shida na mkopo wa kiasi cha shilingi milion 6 kwa mtu binafsi au microfinance ambayo hawaitaji lesen ya biashara au niwe mwajiriwa ili kupata mkopo Nahitaji mkopo huo kwa dhamana ya kiwanja cha mita 23 kwa 23 kilichopo kibaha kwa mathias , mtaa unaitwa mita 50 kiwanja kipo...
Back
Top Bottom