Recent content by KENY THOMAS

  1. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele mzuri tani 3.5 Ifakara,Kilombero.

    Mawasiliano yako hapo,tuwasiliane ndugu.
  2. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele mzuri tani 3.5 Ifakara,Kilombero.

    Asante Mkuu, Pia nashukuru kwa hiyo taarifa ya bei ya mchele hapo Dar.
  3. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele mzuri tani 3.5 Ifakara,Kilombero.

    Habari Wakuu,nina mchele mzuri tani 3.5 ninauza kwa bei ya 2200 kwa kilo moja. Mawasiliano:0685096617_0718672642
  4. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mabalimbali

    4.5M?
  5. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Madabadaba a.k.a Ganja Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi Mkoa wa Morogoro Kijiji kiko ndani ndani hatarii-porini,nilikutana na wasukuma(wanaDress kama wamasai+fimbo) kibao_Ni mwendo wa kisukuma... Kwa mara ya kwanza nilikosa kushuhudia pisi za kisukuma_kila mwanamke yuko na watoto wa kutosha!
  6. KENY THOMAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na safari ya mke wangu

    Ooh namna gani tena hapa.. Mkuu wife kacheza rafu mbaya sana hiyo(na nafikiri kuna namna ambayo umepelekea iwe hivyo-unamruhusu mke wa ndoa aondoke ili tuu msi-collapse..this too bad aisee..yaani unampa GoAhead ya safari ili tuu umfurahishe wife(kwelii?)! Bila ya kuProbe kiundani.. Vp tickets...
  7. KENY THOMAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unatumia mbinu gani kuomba showtime kwa demu ambaye hamjuani?

    Keep the main thing the main thing-Simple! Credit@Bi Zai.
  8. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    iMix na FOGG(spray).. Unyama sana
  9. KENY THOMAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naskia Raha Miieeeee....🥰🥰🥰 Utaaamu ☺️

    BigTime Kasie[emoji1635]
  10. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Ukishafanikiwa kwenye maisha ni hatua gani nyingine inafuata?

    Hamna mtu hapa Nonsense!
  11. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Unatumia unyunyu gani kwa sasa?

    Legend!
  12. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayana baunsa

    Pole Mkuu kwa kipindi kigumu unachokipitia(ni LIFE tuu).
  13. KENY THOMAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hupenda kitu gani kingine tofauti na pesa?

    Usije ukadanganywa na perceptions za mwanamke ambaye anasema kwake PESA sio kitu bali Upendo,kuheshimiana,kusikilizana...kwamba hayo ndo yanasukuma maisha..aisee! You have to rule out indeep,unaweza kuta that kind of woman yuko na hitaji sana la kuwa into relationship(ndoa) by the time ushamweka...
  14. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Pole sana Chief.
  15. KENY THOMAS

    JamiiForums Tanzania Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

    @kuntaitunai
Back
Top Bottom