Recent content by kenwood

  1. K

    JamiiForums Tanzania Naamini CCM wamepiga vibaya mahesabu ya siasa za Zitto na ACT yake

    Andika tena kangireza
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naamini CCM wamepiga vibaya mahesabu ya siasa za Zitto na ACT yake

    Kwa ACT lazima CCM wapoteze hii ni hali halisi otherwise wanajidanganya. Wafuasi wengi wa zitto ni kutoka CCM+wale waenda kwa upepo (ile dini yetu)
  3. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sitopoteza muda kuwajibu waliotunga email feki

    Jina jipya la kazi ya usanii
  4. K

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Sitopoteza muda kuwajibu waliotunga email feki

    Chama chake cha ACT? Chama cha CCM bana, Zitto acha ubebish Email ni yako acha uwongo. Watu wamechota fedha kwa masandarusi na wakakataa sasa sikushangai wewe ukiruka email
  5. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa, Membe kutupwa nje, Makongoro kumrithi Kikwete

    Hoja inaleta mantiki haswa especially kwa Africa na watawala vichwa maji wasiojielewa
  6. K

    JamiiForums Tanzania Zitto aahidiwa kupewa ulinzi na chama cha ACT

    Hivi mtu kama wewe nikuite teeja au ndiyo buku per comment.??
  7. K

    JamiiForums Tanzania Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    Usituletee story za Amitha Bachan, face the reality.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sitta: Wajumbe wa UKAWA wanatupigia Simu kuhoji kwanini Viongozi wao wanawazuia

    We mmasai wewe!! Kanyooo??
  9. K

    JamiiForums Tanzania Polisi kumulika CHADEMA kutokana na kupanga njama zenye mwelekeo wa ugaidi

    Kuna kuku wangu amekufa na kideri lkn kuna mtu ameniambia ana ushahidi si kideri kimemuua, ameniambia Chadema ndiyo wamemuuwa ngoja alete ushshidi tuupeleke polisi wafuatilie. Haiwezekani Chadema wauwe kuku wangu.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rais Jakaya Kikwete, ameitisha kikao cha dharura cha Kamati Kuu kitakachofanyika Dodoma

    Wajibu hapahapa JF au waje nyumbani kwako??
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Nimeombwa kugombea Urais 2015

    Hahahahaha!! Dr Mwigulu. Hii nchi kuna siku teja atakuwa Rais
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mchange & CHADEMA's Nightmare is Not in our party (CCM) interest, stay out

    Hamna mwenye picha ya huyo mchange nione hata anafananaje ?? Sijamsikia wala kumuona akiongea ila habari zake ninazosoma namuona huyu mtu sii mzima kabisaaa. Atakuwa ana matatizo mengi sana, kimwili+kidunia
  13. K

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Hahahahaha!! Wacha tu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Huyu mwenyekiti anapoteza muda mwingi kuliko wahusika wakuu, talking talk talk. Aaaaah!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Huyu mwenyekiti mbona anamsapoti sana Tyson
Back
Top Bottom