Recent content by kennethy chonya

  1. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania WCB punguzeni kukopi na kupesti

    Kunae huyo msanii anaitwa Raymond apo wcb hata dangote ajipange maana anafanyiwa nae melody na Raymond
  2. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli HONGERENI YANGA...

    Huwezi isifu yanga Kwa mchezo mzuri bila kumtaja juma abduli utakua hujui mpira
  3. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania Kitwanga: Siku za Majambazi zinahesabika

    Watakimbia wasingizie kifo ka bro balali c kawaida yao,awa nahis tukiskia mtu ana kashfa na pesa zetu akijichanganya sehem kama uwanja wa taifa pale tunamalizana nae aka rest in peace kuliko rusha roho humu JF afu nothing is going on
  4. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe:Na Saed Kubenea

    Lakni kwa hayo ulo andika haguswi lowasa mpaka kubwa la maadui aguswe Mzee
  5. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe:Na Saed Kubenea

    Mh...
  6. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania Sigara ipi ni nzuri na salama zaidi (madhara kidogo sana)?!

    Achana nazo ,vuta mkwanja mifeg hazifai jombaaaa yamenikutaga
  7. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Serikali ya Magufuli inaelekea kubaya, adai kunasa nyaraka

    Uyooo jamaa nae kiazi kweli izo nyaraka sasa ,yaani so what?,ujue duuh kuna watu ni wanajua kuboa et
  8. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Ulaya vyazidi kuiandama Serikali ya Tanzania

    Yote aya alie sababisha ni bwana Jecha sasa cjui how he feels where he is......,iyo jamaa kama vp ilaaniwe tuuu tujue moja
  9. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke kwamba rais hanunui vocha, hashoni suti wala hanunui kilo ya unga dukani.

    Waalimu wanakatwa cwt,bima ya afya,kodi,na vitu kibao vyakinyonyaji jee na raisi nae vipo ivo kwene mshahara wake? Kama hapana toeni uo unyanyasaji kwa watu wenye mishahara midogo
  10. kennethy chonya

    JamiiForums Tanzania TAMKO CUF: China msiwe adui wa demokrasia Tanzania kwa maslahi yenu

    China hawana akili tangu walipoharibiwa mindset zao walipokutana na vibaka professional kutoka ccm tz......
Back
Top Bottom