OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,022
- 114,394
Waziri wa masuala ya ndani Charles Kitwanga amewatahadharisha majambazi jijini Mwanza kuwa siku zao zinahesabika.Akizungumza Misungwi alisema "Naagiza,kuanzia sasa majambazi ama zao ama zetu...tafuteni kipato halali"
MY TAKE:
Je,siku za Kitwanga na Lugumi zitaanza kuhesabika lini?
MY TAKE:
Je,siku za Kitwanga na Lugumi zitaanza kuhesabika lini?