Ni wazo zuri,ila pia mabenk siku hizi yana hitaji dhamana isiyo hamishika ambayo ni nyumba,kwa suala la kuzungushia mtaji changamoto kubwa ni kuwa aina ya biashara na pia is watu wote wana weza fanya biashara kwa umakini na kuindeleza! Kumbuka ujasiria mali una hitaji follow up ya karibu sana...
Mnyika kapeleka hoja ya ukosefu wa maji dar lakini anasoma tatizo la maji nchi nzima,Ndugai anasema mbona hasomi alicho lenga kuwasilisha!! Hapa Mnyika kaonekana mburula!
Upinzani kwa Ujumla ulipata 39 percent,ukija kwa upinzani kwa kila chama mpinzani aliepata asilimia nyingi ni 26 tu! Kwa hiyo chukua asilimia 61 uweke kwenye range na asilimia 26! Utaona APRM wanachosema! Usibishe na takwimu!
Mleta mada kaja kinafiki na hoja yenyewe ipo kinafiki sana,sasa tupoteze muda kwa kujadili UNAFIKI ? yani Propaganda yako hata asiye na akili anaigundua Mkuu!
Umekua POPO yani Viongozi wa Chadema wa kwako na Wa CCM wa kwako! Una kadi mbili za CCM na Chadema? Rudisha kadi moja wapo hapa unafanya unafiki tu huna jipya kujifanya upo CCM na Majungu yako kutoka Chadema!
Safi sana Kinana na Nape suluhu la jambo hili ni Ushindi kwa amani ya nchi yetu,japokua kuna wajukuu wa Shetani ambao wao watu wakiuawa wanao ni jambo nzuri na kuona sasa nia yao ya 2015 ina kamilika!
Mimi naanza kupata wasiwasi juu ya uelewa finyu wa member wa JF,Naibu Katibu Mkuu wa Chadema amekua mstari wa mbele kushadadia sana siasa za mtwara leo unasema Chadema imejitenga na suala la mtwara!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.