assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Mh Mnyika amemuomba rais Kikwete aunde tume huru kuchunguza mauaji ya Arusha.
Source: ITV
Source: ITV
Tume ya nn? Wafanye fujo wao tena waundiwe Tume?
Mh mnyika amemuomba rais kikwete aunde tume huru kuchunguza mauaji ya arusha itv
Tume ya nini wewe? Tumeshavuka level ya logic hapa. This is war!
ni jambo jema na la haki
Inamaana hutaki uchunguzi wala mjadala wa aina yoyote tena... bali vita... Mkuu vp?
ngoja nikwambie nataka nini sasa. wote tunajua kwamba rais wetu hana kipaji wala elimu ya darasani kumwezesha kuendesha nchi.lakini kwa sababu kosa tushalifanya tukamkabidhi nchi, basi walau ajifanye anasikiliza na kupokea mawazo mazuri ya watu nchi itulie. fukuza kazi watu watatu: Waziri wa mambo ya ndani atoke, Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aachishwe ngazi, IGP Said Mwema aachishwe kazi kwa sababu wameshindwa kumshauri vizuri kuhusu mambo ya usalama. Inawezekana tatizo ni yeye kama yeye rais, lakini ingalau ajikoshe basi kwa kusingizia hawa wengine nchi itulie hii miaka miwili iliyobakia. Tume ni kupoteza hela na wakati tu...haina maana.
Mi napingana na Mnyika kwenye hili kabisa. Tume ya nini wakati kila kitu kipo wazi kabisa.... Utaunda tume ya nini kuchunguza kama jua linazamia magharibi?! A wastage of time and money.