Kinana: Serikali iwasikilize wananchi wa Mtwara

Kinana: Serikali iwasikilize wananchi wa Mtwara

Kinana jinga sana Serikali iwackilize na Serikali c nyie wauwa tembo wez wakubwa mbavu xana
 
Viongozi wa ccm wayaongelee hayo mtwara na sii kigoma,sekretarieti ilipashwa kufanya vikao vya ndani mtwara kwa kushirikisha viongozi wa mashina,mabalozi,matawi,kata,kamati za siasa za wilaya zote,madiwani wote,pamoja na halmashauri ya mkoa,na sii kutoa kauli wakiwa kigoma,alichokifanya mh.waziri mkuu juzi na jana,kilipashwa kifanywe kabla na viongozi wa ccm sekretarieti ili wayaseme hayo wanayoyasema sasa,badilikeni guys.
 
Katibu Mkuu-CCM na Katibu mwenezi wanaposema"serikali iwasikilize wana Mtwara" ni usanii tu!Hawa ni matapeli tu wa kisiasa!Anyway sasa si ndiyo muda muafaka wa Nape kuwaita akina Prof Muhongo waende Mtwara akawaeleze wakazi wa huko uzuri wa mradi huo hasa gesi ikianza kuletwa Dar au!Mbona walikuwa wanawasimamisha mawaziri jukwaani zamani kutetea sera za CCM
 
Aaaahhhhh,nyinyiem mmekamatika hatimaye mnataka serikali yenu ikawasikilize watu mliowaita wahaini?
 
Kinana na Nape Nnauye nendeni mtwara mkiwa pamoja na Prof. Muhongo, Simbachawene na bila kumsahau RC Simbakalia mkawasikilize na kuwapa majibu sahihi wananchi mnaowaita wahuni, wapuuzi na wahaini.
 
Last edited by a moderator:
SAKATA la gesi sasa limeingia hatua mpya, baada ya watendaji wakuu wa CCM; Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kuitaka Serikali ikae na wana-Mtwara ili kuona namna ya kumaliza mgogoro huo kwa amani.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Uvinza, Kigoma, Kinana aliitaka Serikali isikilize hoja za wakazi wa Mtwara na kuzitafutia usumbufu sahihi.


“Serikali ikae na wana-Mtwara na kuwasikiliza, wananchi hao wana hoja na Serikali inapaswa kutoa majibu sahihi kwa hoja hizo. Lakini pia iwasake na kuwachukulia hatua za kisheria waliosababisha uvunjifu wa amani,” alisema Kinana.



Kwa upande wake, Nnauye aliitaka Serikali kuwasikiliza wananchi wa Mtwara kwa kuwa madai yao ni ya msingi... “Wakazi wa Mtwara na Lindi wanazo hoja za msingi juu ya suala la gesi, hoja ambazo ni muhimu kusikilizwa na kupatiwa majibu sahihi.”


CCM walitakiwa waishurutishe serikali itekeleze Ilani ya uchaguzi

kujenga kiwanda cha gesi,kupanuliwa kwa bandari na mtambo wa umeme wa megawati 300

Msajili wa vyama vya siasa kazi yake ni kusajili vyama tu?,ccm hawatekelezi Ilani kakaa kimya!
 
Safi sana Kinana na Nape suluhu la jambo hili ni Ushindi kwa amani ya nchi yetu,japokua kuna wajukuu wa Shetani ambao wao watu wakiuawa wanao ni jambo nzuri na kuona sasa nia yao ya 2015 ina kamilika!
 
Hivi kwenye vikao vyenu CCM huwa mnazungumza nini?kama siyo umbeya kwaninini viongozi wenu wanalalamika kama wapinzani wakati nyie ndiyo wenye serikali?Pooor CCM
 
Hivi kwenye vikao vyenu CCM huwa mnazungumza nini?kama siyo umbeya kwaninini viongozi wenu wanalalamika kama wapinzani wakati nyie ndiyo wenye serikali?Pooor CCM

Kinana na Nape wana ingia baraza la mawaziri? Tumia akili bana
 
Sasa serikali ya CCM na CCM yenyewe wamesalimu amri, wako hoi! Wako tayari kuongea na wahuni na wahaini ili angalau wamalize kipindi chao salama!
 
chezea nguvu za umma sasa nape na kinana wanashauri serikali ikaongee na wahuni, wahaini, wasio na akili? au wamesahau matamshi ya wajumbe wa ccm hapo awali kwanza wanamtwara sijui kwanini hawakuchoma nyumba ya rc pumbavu kabisa..kazi nzuri sana wana Mtwara masikio yao yatazibuka tu na macho yao watayatoa tongotongo na vinywa vyao watavisuuza ili wajue nini cha kuongea na wenye mali au wanajua mwenye mali ni Kinana na Majangili wenzake wa ccm..

Hiyo Nyumba itachomwa awamu inayokuja wakishindwa kuridhia matakwa yao! Hii serikali ina watu wa ajabu sana, sasa mnawezaje kuongea na wahaini, wapuuzi, watu wasiokuwa na akili! Shame on you CCM!
 
Yaani ni 'unafiki na ujuha' usio kifani

Unafiki unafiki unafiki mtupu. Kuna serikali zaidi ya CCM? Kwanini Kinana asimwambie hayo bosi wake badala ya kuwatapeli wananchi? Mbona wananchi walimtaka aache kuua tembo wetu hakuwasikiliza? Hao anaotaka kuwasikiliza wananchi wana nini cha mno tofauti naye wakati wote ni wezi wanaotumia madaraka kujineemesha? Shame on you Kinana!
 
Hivi kwenye vikao vyenu CCM huwa mnazungumza nini?kama siyo umbeya kwaninini viongozi wenu wanalalamika kama wapinzani wakati nyie ndiyo wenye serikali?Pooor CCM

yani hapo nashindwa kuelewa kazi ya chama tawala... wanalalamika kuliko nccr
 
yani hapo nashindwa kuelewa kazi ya chama tawala... wanalalamika kuliko nccr

Mkuu keneth Nollo mjibu Mon`goo kazi ya chama tawala nini?ni kuiwajibisha serikali kwenye magazeti?
 

Kinana na Nape
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Ofisi za CCM Wilaya ya Uvinza, Kigoma, Kinana aliitaka Serikali isikilize hoja za wakazi wa Mtwara na kuzitafutia usumbufu sahihi.



“Serikali ikae na wana-Mtwara na kuwasikiliza,
wananchi hao wana hoja na Serikali inapaswa kutoa majibu sahihi kwa hoja hizo.

'When they pipe at Mtwara, they dance at great lakes..' Naona sasa wameamua kulifanya hili suala 'ze komedi'. Hawataona shida ku-mtosa mtu hawa. Surely Prof. Muhongo must use his 'professorial eye'..
 
Alipoingia kwenye uongozi, Kinana na Nape walikuwa wanaenda kwa wananchi na kuwasimamisha viongozi ili wajibu hoja. Nawaomba waende Mtwara, wamsimamishe Muhongo ajibu hoja za wananchi...

atapigwa mawe haraka sana huko sio pakweta wajinga kama Muhongo maana nilijua elimu inamsaidi kumbe ndio kabisa ujinga umeongezeka na kuwa kama hauenda shule kweli siasa ni kiboko inawaweka kuwa mazezeta kabisa haswa walio naelimu
 
Back
Top Bottom