Mahindi yanauzwa kwa bei nafuu kwa gunia.Nimeona niwajuze wakuu,kwa maana huku msim huu mahindi ni kibao.Si mnaona hali ya kiangazi kwa sasa fanyeni fasta yasije yakaisha no yangu ni 0762283253,asanten sana.
Wana jf napenda kujua kuwa soko la soya beans hivi inalipa? Nataka nianze kulima msim huu hizo soya hususani zile za njano naomba niulize haya maswali kadhaa hivi zinaitaji hali gani ya hewa ili zi stawi vyema? na zitachukua mda gani hadi nivune? Katika eneo la ekari moja naweza vuna magunia...
Asante mkuu michepuko kwa wazo lako zuri na upeo wako wa kufikiri umeonambali sana shukrani.Nitafika uko ndani ya wiki hii inayo anza alafu nta post picha zake apa na nyumba ipo karibu na barabara 7meta kutoka barabara kuu karibuni wote asanteni.
Kwa wale wote waishio Dar napenda kuwa taarifu kuwa kuna nyumba yenye rum nne na seble moja pamoja na vyumba vingine viwili vilivyopo nje,ipo eneo la majohe na ina mazingira safi ya kupendeza na inakodishwa kwa bei nafuu karibuni sana kwa mawasiliano zaidi piga namba 0762283253 au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.