Nyie ni watu wa ajabu kweli kweli, NEC inafanya kazi kwa mujibu wa sheria, kwa nini mnailaumu tume au spika? waambieni viongozi wenu wakae na kufikia mwafaka ili yote wanayoyafanya yatokane na vikao. Mwenyekiti na Katibu hawaelewani, je mtafika? msipokuwa makini itafikia kuwa historia ya chama...
Ni kweli kabisa aliambiwa aondoke lakini akawa anasisita sifahamu anachojivunia au kwa kuwa.......... kwa hiyo hakupenda utiifu wa sheria bila shurti, polisi alifanya kazi yake kama itakiwavyo, ni vema wanasheria wawe mfano bora kwa utiifu wa sheria.
Kwa kuwa hakuna sheria inayompa ni muda gani aishughilikie barua baada ya kuwa imepitia ngazi zote zilizotakiwa, nawashangaa sana wana sheria kuanza kumlaumu Spika !! yeye alichofanya ni kufuata tu wajibu wake kama spika.
Acheni kutoa lawama ambazo hazina msingi wowote, wakae wana CUF...
Baadhi ya vijana Watanzania wanatumia muda mwingi kufikiria maswala ya ngono badala ya kufikiria maendeleo, utaweza kupga hatua au kuboresha maisha yako kama itakuwa muda mwingi unafikiria ngono tu,
Wahalifu tuwazuie kuingia katika nyumba za kuabudia iwe ni kanisani, hekaluni au msikitini, vinginevyo askari ataingia sehemu yoyote ile kwa manufaa ya usalama wa nchi, tuzingatie hilo.
Ndugu zangu, awali ya yote natoa pole kwa wale wote waliopata madhara baada ya askari kuingia ndani ya msikiti, tunaamini kwamba waliingia ndani ya msikiti baada ya kupata taarifa kutoka kwa wasamalia wema kuwa ndani ya msikiti kuna BAADHI yao si watu wema kwa usalama wa waliokua ndani na je...
Si kweli kama wametuacha mbali ila wao wanaushirikiano wa hali ya juu sana, huwezi ukasikia hata mmoja akikandia utawala wa nchi yake. sisi tuna akili kama wao tofauti iliyopo ni kwamba wao walituchukulia mali ikawa ndo mtaji wa kutunyanyasa sisi, lakini safari hii watakuwa wameingia anga nyingine.
Mr Mayala nakushauri wakati mwingine unapoleta maoni mazuri kama hayo tumia maneno ya kiwsahili ili hata yule Masanja, masalu, shija pamoja na mazengo, matonya wakuelewe vizuri. Nashukuru kwa udadaguzi kwa hili jambo ambalo naamini hayo ni maoni yako,na yanaweza yakawa pia mawazo ya watanzania...
Kama itakuwa ni kweli mchele huo ni plastiki na Mkurugenzi wa TFDA alikataa, naamini atakuwa hatoshi kwa nafasi aliyonayo ajiulize na ajitafakari mwisho achukue hatua.
Serikali ifikirie sana , mtu anaweza akawa ana elimu ya sekondari Lakini asiwe na uwezo katika utendaji wa kazi, kwani wapo wenye elimu ya msingi walijiendeleza katika taaluma zao na kuweza kufikia kiwango cha stashahada hadi shahada, je mtu huyo ataambiwa hajasoma? kwa kuwa tu hana cheti cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.