Baadhi ya maprofesa, uprofesa wao uhakikiwe

Baadhi ya maprofesa, uprofesa wao uhakikiwe

Tata Maestro

Senior Member
Joined
Jan 8, 2017
Posts
169
Reaction score
175
Wadau,
Ujumbe umefika, huyu profesa wenu ana tukatisha tamaa, sisi wenye malengo ya kuwa maprofesa.

Hivi maprofesa wetu wa mbongo bahati mbaya huwa wanaupata uprofesa toka vyuo vipi?. Naomba kuvifahamu hivyo vyuo ili niviepuke mapema.

Sitaki kabisa kwenye uzee wangu niwe kama hawa maprofesa wenu, maana kuwa na mvi ni busara au kwavile hawana umvi?

Aseeee wanakera sana, mpaka tuna mlaamu Mungu kwa kutunyima uwezo wa kuwawajibisha sana sana kwa viboko.
 
Kunakitu Kinaitwa Imani, Hii Huwa Hajalish Kiwango Gani Cha Elimu Umefika. Moja Ya Vitu Vinavyo Husisha Imani Ni Dini, Siasa, Mapenzi, Michezo, Ushirikina, Nk. Hv Vitu Havibagui Watu, Yeyote Anakaribishwa. Unaweza Shangaa Professor Ni Muhindu, Hawa Wanaabu Ng'ombe Jike, Wengine Wanawaabu Watu. Au Msomi Lkn Kamkubali Unaemuona Ww C Wa Hadh Yake, Au Mtu Anaweza Kuwa Shabiki Wa Timu Yoyote Hata Km Itashuka Daraja Ataendelea Kuipenda. Tunaweza Fananisha Kdogo Iman Na Uzalendo Japo Imani Ni Kubwa. Ss Usaliti Pia Ni Imani, Maana Yake Amekosa Iman Na Upande Flan Na Anajarib Kujenga Iman Na Upande Mwingine. Unafiki Pia Ni Iman Kwan Mtu Anakua Anaamini Kitu Hiki Lkn Anajifanya Anaamini Kule. Hapo Swala La Phdz Zake Haziwez Apply Kwan Ana Intrest Zake Anazo Pigania.
 
Huyu profesa uchwara ahakikiwe, siyo bure. Je na huyu alisomeshwa ili kulisaidia taifa?
 
Back
Top Bottom