Recent content by kengeza kubwa

  1. K

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo wafunika Iringa Mjini. Zitto Ampongeza Filikunjombe, Msigwa bado

    Sasa mwambieni chiku Abwao aitishe mkutano peke yake muone aibu yake.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto, Shika lako, ya wengine waachie wenyewe! Epuka kumtaja Lowassa kwa ubaya!

    Akili na mafundisho ya zzk kwa wafuasi wake ni kuichukia chadema. Wako tayari kuisaidia ccm lakini sio kuona ukawa wanashinda. Siasa za chuki zimewatawala. Umimi na kujiona bora kuliko wengine ni janga kwa zitto
  3. K

    JamiiForums Tanzania Sombetini Arusha: Kura za maoni udiwani watibuliwa.

    Umeshindwa kura ya maoni unaleta umbeya hapa. Bananga kapigaD mzigo. Diwani wa taifa. Njia nyeupe nenda kwa wasaliti
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kikwete: CCM tumejenga Shule za Kata

    Lowassa kajenga shule za kata miaka miwili tu nchi nzima, lakini pinda na jk wake maabara tu zimewashinda. Ukiulizwa kuwa pinda kafanya hana la kujibu
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nani Anaweza Kumrithi Prof. Lipumba?

    Mtatiro apewe
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli, tafadhali badili hotuba

    Yule anajua kuelezea vipimo vya madaraja tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA watoe Ratiba ya kumtambulisha Lowassa na Duni mikoani

    Good. Makufuli mwisho mlangoni kwa wananchi ni Lowassa
  8. K

    JamiiForums Tanzania Amenibebea mimba bila ridhaa yangu

    Unachunguza huku unamega pekupeku..
  9. K

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Mungu asimame ktk hili
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa havai vazi rasmi la CHADEMA maarufu kama gwanda?

    Ziko london zinashonwa
  11. K

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Vijana wa lumumba watatumia mwanya huu kumkasirisha Josephine
  12. K

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Mwanamke aliyeota kuwa na asiye na hadhi ya kuwa First Lady

    Shemeji yetu tunakuomba sasa inatosha. Muachie kamanda wetu atoke ili tushirikiane kuing'oa ccm. Ukiwa hata mke wa speaker, waziri mkuu au mke wa katibu mkuu kiongozi inatosha. Watanzania ni muhimu zaidi kuliko ufirstlady. tunamuombea msamaha kamanda wetu. Mungu akubariki sana.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tafadhali tumia busara tuiondoe CCM 2015

    Sio kila maamuzi ya chama yakufurahishe. Wenzio wameamua, unga tela. ViVinyongo ya nini? Ccm iitokekwanza tubebe nchi .
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Akitoka slaa ndio mwisho wao Huyu mzee wampigie magoti vinginevyo ccm itafanya kikao na kufanya sherehe.
Back
Top Bottom