Sombetini Arusha: Kura za maoni udiwani watibuliwa.

Sombetini Arusha: Kura za maoni udiwani watibuliwa.

karanga mbichi

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
269
Reaction score
223
Ipo dalili ya kupoteza kiti cha udiwani kata ya Sombetini (CHADEMA) baada ya rushwa, kashfa na mizengwe kutawala ili kumrejesha diwani alieshindwa kutimiza matarajio ya wana sombetini.Binafsi nikiwa kama mwana chadema hai,naiona kata yetu ikiondoka rasmi.

Diwani aliemaliza muda wake mr. Bananga hana tena mvuto kwa wapiga kura.Hakutumia muda wake kuwatumikia wananchi bali kautumia kujifurahisha na sehemu tu ya kikundi kidogo cha wahuni wenzake.

Chama kisipokuwa makini uwezekano wa kata kuchukuliwa na vyama vingine ni mkubwa.Kifupi Bananga hauziki tena na kapoteza sifa ya chama...
 
Mwaga 'facts' vinginevyo hizi ni hisia zako tu! Maamuzi ya kisiasa hayafanywi kwa hisia bali kwa facts!
 
Kazi aliyoifanya Bananga Kwa muda mfupi aluokuwa Diwani Ni kubwa ishara ya kukubaluka kwake Ni uchaguzuvwa serikali za mitaa ambazo alisimamia mwenyewe kuwaombea kura wenyeviti ba wajumbe na tukavuna mitaa ya heshima...kushindwa kwako kura za maoni usituchafulie chama wahi CCM any kwenye Tawi lao ACT...
 
Unaposema kushindwa kwangu mimi sikuwa mgombea so nazungumza hali halisi acha kuongozwa na hisia.
 
kazi aliyoifanya Bananga Kwa muda mfupi aluokuwa Diwani Ni kubwa ishara ya kukubaluka kwake Ni uchaguzuvwa serikali za mitaa ambazo alisimamia mwenyewe kuwaombea kura wenyeviti ba wajumbe na tukavuna mitaa ya heshima...kushindwa kwako kura za maoni usituchafulie chama wahi CCM any kwenye Tawi lao ACT...

Thread 'closed', aende akajiunge na Alliance for Cowards and Traitors !
 
Umeshindwa kura ya maoni unaleta umbeya hapa. Bananga kapigaD mzigo. Diwani wa taifa.

Njia nyeupe nenda kwa wasaliti
 
Mazuzu bana, sasa kwa nn usiwasilishe kilio chako ktk ngazi husika unakuja lia lia JF ? Kweli kimbilia kwa wenzenu....
 
Nenda act ww acha kulia Lia hapa tupo busy na mikakati ya kuing'oa CCM tafadhali usitusumbue hapa
 
Back
Top Bottom