Recent content by kende

  1. kende

    JamiiForums Tanzania Nikki Mbishi vs Wakazi

    Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop'
  2. kende

    JamiiForums Tanzania Kwako Harmonize, chukua ushauri huu

    Very constructive critisism
  3. kende

    JamiiForums Tanzania Kenedy 'The Remedy' wa Clouds FM

    Mi namuona wa kawaida tu, kwa hawa watangazaji wa vipindi vya burudani wa miaka ya hivi karibuni naona Lil Ommy kidogo ana upekee
  4. kende

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz ni mhuni sugu,ameshindikana.

    Unaweza kuta huyu mwanzisha sridi ni baba wa familia
  5. kende

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kumuacha mwanamke kama humtaki tena

    Mimi nawaombaga hela
  6. kende

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kuombana HELA

    Kwa yeyote mwenye marinda namuomba buku 5 na leo nikapige kitimoto kama jana
  7. kende

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona jana kwenye Wasafi Festival 2018

    DUDUBAYA? Apart from Harmonise, Rayvanny n' Mond hakuna msanii aliyemzidi Dudubaya usiku ule kwa namna alivyopokelewa vizuri na mashabiki, what a'u talking about? MOCO (Moni n Country)? Yes walifanya vizuri kwa stage ila sio kivile, walizidiwa hata na Young Killer NAVY KENZO? Eti hawana uzoefu...
  8. kende

    JamiiForums Tanzania Rutyfiya Abubakary 'Amber Ruty' na Said Bakary Mtopali wamerejea uraiani baada ya kupata dhamana

    Huyo mchungaji anatafuta kiki, sawa tutaenda kanisani kwake na sadaka asijali
  9. kende

    JamiiForums Tanzania Martha Mwaipaja atoboa siri sakata la Rose Muhando

    Hapa bado kuna vitu vingi vinafichwa, ngoja nikae kimya ila ukweli utajulikana tu
  10. kende

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aibiwa Mtwara, kibaka akwapua cheni zote

    [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  11. kende

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa ubaya ni aibu

    Alihudhuria January Makamba tu na wafuasi wa Ruge[emoji3][emoji3]
  12. kende

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Clouds hawawezi shindana tena na Wasafi

    Hujui kwamba redio nyingine zinafuata mkumbo wa Clouds? Yaani msanii akifanya vizuri clouds na wao wanapita humohumo
  13. kende

    JamiiForums Tanzania Wasanii hatujalipwa Fiesta

    Whozu bwana[emoji3][emoji3]
  14. kende

    JamiiForums Tanzania Wasafi mtufikirie na sisi wasanii tuliokuwa kwenye Fiesta

    Kwani we Stamina unatumiaga dancers?[emoji3]
  15. kende

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona WASAFI Festival ni tofauti na namna ilivyopromotiwa

    Hawezi kuwa nayo kama lipo basi moja tu
Back
Top Bottom