Rutyfiya Abubakary 'Amber Ruty' na Said Bakary Mtopali wamerejea uraiani baada ya kupata dhamana

Naukumbuka mfano wa YULE mwanamke kahaba aliyefumaniwa na akatakiwa kupigwa mawe hadi kufa. YESU aliwaambia asiye na dhambi na awe wa kwanza kurusha mawe..... wote walisambaratika. Binafsi nampa pongezi mchungaji.... hakuna aliyekamilika.
Watu wamewekewa taarifa lakini bado wanapotosha, Amber Rutty kadhaminiwa na Salma Omary na Asha Bakari, mchungaji amemdhamini mpenzi wake.
 
Huyo mchungaji anatafuta kiki, sawa tutaenda kanisani kwake na sadaka asijali
 
Ni mawazo yangu machafu tu au ? Mbona Mchungaji anatia wasiwasi ?
tapatalk_1543337931375.jpg
 
Watu wamewekewa taarifa lakini bado wanapotosha, Amber Rutty kadhaminiwa na Salma Omary na Asha Bakari, mchungaji amemdhamini mpenzi wake.
Ndo nilitaka kuuliza... kwamba, ina maana sijui kusoma vizuri au vipi manake taarifa inaonesha wazi kwamba Amber Rutty amedhaminiwa na mama zake wadogo na Mchungaji kamdhamini basha wake Rutty!
 
Nimefurahi sana wametoka, huo ni mwanzo mzuri kuona kweli haki ya binaadamu inatekelezeka, haya wale mahakimu na watakatifu mnywe maji mlale.
 
Back
Top Bottom