joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,935
- 40,150
Wakazi sijawahi kumuelewa hata siku moja.
Sema kingereza kingi,ila lyrically Ni mediocre,sema jamaa Ana exposure kubwa kakaa Marekani miaka Tisa bonge la exposureNilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop'
Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop'