Recent content by Ken Masilingi

  1. Ken Masilingi

    Rais Magufuli amteua Humphrey Polepole kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma

    Siku zote ndege wanaofanana uruka na kupepea kwa pamoja. Polepole amekuwa aki support na kushauri mambo mengi ndani ya chama na hata kupitia vyombo vya habari akiunga mkono juhudi za Serikali kupambana na ufisadi imempendeza Rais Polepole awe mmoja wa wasaidizi wake. Hongera sana Humphrey...
  2. Ken Masilingi

    Tuhuma za Udini dhidi ya Dr. Ramadhani Dau wa NSSF, Ukweli ni upi?

    Tusipende kutumia platform hii kuongelea udini, napata tabu sana watu wenye akiri timamu kuongelea udini, mtu anaye ishi katika jamii ambayo kuna dini zaidi ya moja then akaweka udini kwa watu anaowahudumia lazima apigwe vita.
  3. Ken Masilingi

    Serikali ya Magufuli inajiandalia anguko kama sio aibu siku zijazo

    Hakuna dhambi mbaya kama kuona makosa then unafumba macho kuogopa matokeo ya wewe kuchukua hatua. Hakuna mwenye hati miliki na utumishi wa umma ukifanya makosa lazima uwajibishwe hakuna kuvumiliana sasa ni kuwajibika tu no excuses
  4. Ken Masilingi

    USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

    Scandal kubwa sana kwa oilcome hii duuuuuu imekuwa kwao jipu pwaaaaaaaa
  5. Ken Masilingi

    USHUHUDA: Hivi ndivyo mafuta yanavyoibiwa Bandarini Dar...

    Hile sheria ya kuwalinda watoa taarifa za ualifu inahusika , platform kama hizi jamii forum zitumike kuweka uozo wazi na kusaidia serikali kufahamu maovu. Big up mtoa mada hakika umelitendea haki taifa lako tuko nyuma yako.
  6. Ken Masilingi

    Uvujishaji siri za Serikali: Profesa Muhongo mtegoni

    Tuletee Hiyo sms siyo unaleta kichwa cha habari cha gazeti bila kutupa sms yenyewe tusome in details then Unaweza Kuwa na uhalali wa ku judge
  7. Ken Masilingi

    Tuache Wivu kwa Nehemia Mchechu

    Swala ni kuwa na mishahara ktk ratio sawa kwa watumishi wa serikali na mashirika ya umma . Hizi tofauti zisiwe kubwa sana kati ya watumishi hapa tatizo ni board za mashirika ya umma kulipana mishahara mikubwa sana na posho huku michango ya mashirika hayo ktk pato la taifa ni kidogo sana ...
  8. Ken Masilingi

    Unazuia sherehe za Uhuru, unaadhimisha birthday ya CCM

    Tofautisha mambo ya chama cha Siasa na serikali na pia kumbuka hadi sasa Rais JPM Sio mwenyekiti wa chama kwa hiyo kuingilia maamuzi ya chama ktk kusherekea ni vigumu. Tusubirie wampe uenyekiti then from there we can judge
  9. Ken Masilingi

    Joseph Mbilinyi (Sugu) amtaka Rais Magufuli asafiri Nje ya Nchi ajifunze kwa wenzake

    Sometimes baadhi ya wabunge wanakurupuka kuongea waonekane wameongea but tambueni Urais ni taasisi tuna matatizo mengi sana ambayo solution yake ni sisi watanzania wenyewe wala sio kwa rais wetu kwenda nje ya nchi . Wabunge wetu watusaidie kutoa hoja zinazogusa na kuleta suluhu kwa matatizo yetu...
  10. Ken Masilingi

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    Hakuna kokote duniani uhuru wa Soko husio na mipaka, Hata kama kuna free market lazima Serikali makini kuwepo na government intervention na pia kumbuka kuna hali ya mtaji ( the consumer rights) ni serikali Ndo msimamizi wa yote haya.
  11. Ken Masilingi

    Wabunge wa Upinzani Watoka Bungeni tena, ni baada ya kunyimwa nafasi ya Muongozo

    Nilitegemea bunge hili litaweka kando maswala ya ushabiki wa ki vyama badala yake sioni zaidi kutegemea mipasho na vurugu kila siku. Speaker anapaswa kuwa strong na kuendesha bunge kwa kanuni otherwise this time tutaona vurugu zaidi
Back
Top Bottom