USHUHUDA: Hii ndiyo michezo hatarishi ya Kampuni ya Mafuta ya Oilcom

1455562744315.jpg
Mmakondeeeee! Vipi umeshakula lakini? Au ndo mnaendelea kushindia maji na mihogo?
Vipi jamaa zako kwa kina matonya mmeshawakumbuka au ndio wanaendelea kuwamaliza hawa jamaa?
Mmakondeeeee! Vipi umeshakula lakini? Au ndo mnaendelea kushindia maji na mihogo?
Vipi jamaa zako kwa kina matonya mmeshawakumbuka au ndio wanaendelea kuwamaliza hawa jamaa?
 
Hamna kisichojulikana na ma-CCM bali yanafumbia macho kwakuwa yana hongwa.Hii mijitu ni minafiki na ndio imeua hii nchi.


Nawasikitikia sana nyie msio na uwezo wa ku-reason.CCM ndio wameshika serikali tangu uhuru hamna wasilolijua.Tuache kufanywa kama watoto.

Mleta mada ma-CCM yanayokupongeza hapa baadhi yao ni manafiki tu na wala hayafurahishwi na hii kazi unayoifanya.
 
Teh teh teh.
Tutambuliwe mara ngapi!

Kuna watu wenye kutambuliwa KIMATAIFA km OILCOM, AZAM and the like?
We lzm utakuwa muumini wa Gwajima
Unaona sasa ukilaza wako, hapa tunaongekea mafuta we unaleta udini, nishaacha hayo mambo kubishana dini tangu 2014, hukui dogo?

Kutumbuliwa najua UNATUMBULIWA daily, ila jipu hili la oilcom lazima llitumbuke, afu muache kumtisha FUHRER inbox
 
Unaona sasa ukilaza wako, hapa tunaongekea mafuta we unaleta udini, nishaacha hayo mambo kubishana dini tangu 2014, hukui dogo?
Teh teh teh.
Yaani kutaja Gwajima tayari nimekuwa mdini?
Gwajima anaingiza magari ya kifahari na kujenga nyumba za kifahari pamoja na kutembelea Helicopter SHS MOJA ya Kodi hajalipa!

Mbona huyu na Rwakature hamumuanzishii uzi km nyie sio wadini mliofilisika kiakili?
 
Juzi nimefungua uzi wenye kichwa cha habari, "USHUHUDA: Jinsi kampuni za mafuta zinavyokwepa ushuru" nikatoa mfano mmoja wa kampuni ya OILCOM inavyokwepa ushuru. Kuna watu wameni-inbox vitisho.

Sasa natoa mfano mwingine wa OILCOM hiyohiyo.

Baada ya gas ya songosongo kuanza kuchakatwa ( Gas processing). Kampuni ya OILCOM ilipata tender ya kununua Naptha ambayo ni byproduct ya gas processing. Hii naptha ni mojawapo ya condensate katika Natural Gas Liquids (NGL) ambazo huwa zina-liquify katika surface separator. Kwa wasioijua hii Naptha ni ile thinner inayotumika kuchanganyia rangi. Sasa hii naptha inatumika katika viwandani kutengenezea Rangi. Sasa OILCOM ndio Dealer mkubwa wa hiyo naptha pale songosongo. Huwa anapeleka meli pale songosongo na kupakia mzigo wa kutosha na kuja kuushusha kwenye depot yake pale kurasini. Kwa mkataba wake OILCOM ni kwamba anaiuza kwenye viwanda vya rangi vya hapa nchini na nyingine ana-export nje ya nchi.

Anachokifanya kwenye depot yake pale kurasini ni kui-blend na Petrol (PMS) kwa ratio nzuri na kuongeza na octane boosters ili afikie viwango vinavyohitajika vya AKI (Anti Knocking Index) na anatuuzia kwenye service station zake kama petrol.
Parameter anayoi-monitor kwenye hii petrol anayotu-blendia ni hiyo OCTANE number tu kwa sababu anajua kuwa akikosea hiyo atauwa injini za magari yote yanayotumia petrol na effect yake watu wataiona immediately wakijaza kwenye station zake.

Parameter nyingine kama oxygen content na vapour pressure hashuguliki nazo kwa kuwa effect zake zipo kwenye ulaji wa mafuta wa injini na kutoa moshi. (Effects of low and high oxygen content)
Hii petrol yenye naptha ya songosongo tumeuziwa kwa muda mrefu sana na wakuu wanajua kuanzia ewura hadi TRA. Yupo afisa mmoja wa TRA wa kitengo cha mafuta ambaye alikuwa ndio kama Resident custom officer pale oilcom anaitwa GEORGE, yeye ndio alikuwa kiunganishi wa OILCOM kwenye haya magumashi
Kaka hao jamaa wanaokutumia vitisho wasikuzinhue wala nini, wewe mwaga mchele.. JF we dare to talk openly...
 
Solution ya makampuni ya mafuta na gesi ni Daresalaam Stock Exchange
yalazimishwe kuuza hisa
ili kila kitu kiwe transparent....watalipa kodi..na mafuta yatashuka sana
mfano mzuri ni Kenya tu hapo....
Haya NDO mawazo ya kizarendo tunayoyataka Tanzania kwanza saccoss za siasa badae
 
Back
Top Bottom