Nikikumbuka kibri cha Sadam Hussein kipindi kile namwonea huruma Iran!! Sadam alivimba hivi hivi nakujigamba kwamba anakombora za Scad, Kwamba akivamiwa atajibu kwa kuzifuta nchi zote zitakazomsaidia U. S. A. Akapewa mda ajitafakari na kuchukua uamuzi sahihi akavimba kwa kujiona mkubwa, mda...
Story za Mungu na Jehanam zinanifanya nijiulize hivi Mungu busara zake ni ndogo kuliko za wazazi wanadamu? Maana kila mwanadamu azaapo mwana upambana kumkinga mwanawe na vishawishi vya dunia ili hasipotee lakini Mungu kila uchwao anapambana kumwekea mitego mipya mja wake ili anaswe na Shetani...
Mkuu mwenzio joints kidogo zinifilisi, nilizunguka Hospitals kubwa karibia zote lakini wapi, nimekaa na ugonjwa kwa zaidi ya miaka kumi magoti yalikuwa yanajaa balaa nikitembea au kuyakunja. Nilikuja kupona kwa miti shamba kutoka Kagera huko na wewe jaribu kutumia miti shamba maana nilikuja...
Ila sie Watanzania Mungu anatuona haki ya nani, Kocha akiwa na first 11 tunasema kocha anakariri wachezaje kama ilivyokuwa akisemwa Fadlu na akitaka kila mtu acheze tunasema kashindwa kupata kikosi cha kwanza!!
Mie siyo mwalimu lakini anachofanya kwa sasa naona yuko sahihi huwezi subiri ufike...
Ujamaa una faida kwa watawala, lakini watawaliwa ni taabu tupu. Uchina na Russia wana ujamaa wakwenye makaratasi lakini ground wana uchumi wa kibepari. Ujamaa unafanya watu wachache(watawala na magenge yao) wawe miungu watu, wakati wao wanaishi kama wako peponi wananchi wao wanaubiliwa umaskini...
Najiuliza chukulia wewe ni Kiongozi wa Qatar, kati ya Viongozi wa Hamas na USA/Yahudi utachagua kuwa upande upi? Wewe angalia nchi yao Qatar ilivyojengeka kutoka kuwa jangwa mpaka kuwa hivi ilivyo then ukubali kupoteza hali iyo kisa kuwatetea Hamas?
Hivi niulize tu wakati Muhammed anaanza kuenezo unabii wake taifa la Israel (mayaudi) lilikuwepo bado?? Maana kama sijakosea kuna kihistoria kinasema Taifa la Israel lilisambaratishwa na ufalume wa Roma miaka ya 70 BC.
Ukishajua hizi sifa kuu mbili za dhahabu basi matumizi yake makuu utayafahamu hapo hapo
i) Dhahabu ndiyo metali pekee isiyopata kutu hata ukiizika miaka 1000 ukija ni kuifuta tu vumbi inabaki mpyaa
ii) Dhahabu ndiyo metali pekee inayosafirisha umeme na joto kwa kasi kuliko zingine zote kwa sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.