Recent content by kemi2011

  1. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    Issue ni walimu wenye qualifications. Kwenye shule zetu za serikali walimu ni mazao ya Kayumba Sasa unategemea nini? Ili tuwe na elimu bora, kama Taifa inabidi uwekwe mkakati wa miaka kumi hadi ishirini ili kuwapata walimu wenye uwezo wa kuleta changes
  2. kemi2011

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

    Mbona Dr. Magufuli alikwenda Singida? Acha siasa za kitoto haya ni maisha kila mtu ana uhuru wa kuchagua kiongozi anayemtaka
  3. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa shimo la maji taka

    Naomba ushauri. Nimechimba shimo na kukutana na maji kwa kina cha futi tisa. Nifanye nini wapendwa? Yaani nimekwama.
  4. kemi2011

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu amewasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Hata wewe ni mlemavu mtarajiwa kwani hujafa hujaumbika
  5. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mashinji kuchangiwa faini na chama (CCM)

    Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema na Chadema ni watu, sasa kwa nini atumie pesa za familia? Watu anaowaongoza wapo tayari kuchangia tena kwa hiari Sent using Jamii Forums mobile app
  6. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

    Kwani si ni Serikali ya CCM iliyoingia hiyo mikataba? MsemajiUkweli, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Kuna hizi namba zinatumika kutapeli watu

    Wanapiga simu, wanakuwa na taarifa zako, wazazi, ndugu na jamaa zako, wanakuaminisha na wanakwambia kuwa wametumwa na mama au baba uwape pesa kadhaa kwa ajili ya mzigo wa biashara, kwa kuwaamini unajikuta umetuma Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Kuna hizi namba zinatumika kutapeli watu

    Kuna hizi namba zinatumika kutapeli watu, kuweni makini 0687003181 Makala 0684079639 Thomas 0658461311 Makala 0716997631 Mohamed Ally Naomba mwenye kujua napataje msaada TCRA anisaidie, binti yangu katapeliwa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mh Rais Dkt Magufuli, Wape muda watanzania, tatizo ni NIDA

    Shida ipo kwetu watanzania. Mtu anajiandikisha, ukifika muda wa kuchukua namba, unakuta kasahau majina aliyojiandikisha, kasahau majina ya wazazi hata tarehe ya kuzaliwa. Inabidi apige picha mara ya pili, matokeo system inakataa kwani anakuwa 'Duplicate'. Mtu Kama huyu hata aende wapi hawezi...
  10. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Mbowe akiacha Uwenyekiti CHADEMA "inakufa''

    Kwani ina maana Mbowe akifa na Chadema inakufa? Watu wanaopenda chama na wenye uwezo wa kuongoza na kijitolea ni wengi
  11. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    Makubwa, Mbowe katoka wapi kwenye hii mapa[emoji197]
  12. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    Umenena, kwa Makonda Ndugai mtoto
  13. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha Taifa

    Nenda kwenye ofisi zao wilayani kwako, utapewa. Waambie kuwa ulishajiandikisha na kupigwa picha
  14. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha Taifa

    Fuatilia vitambulisho vipo. Ni muhimu kuwa nacho
  15. kemi2011

    JamiiForums Tanzania Kitambulisho cha Taifa

    Fuatilia unakuta vitambulisho vipo ofisini na watu hawaendi kuchukua
Back
Top Bottom