Kwani Lissu ameshindikana mahakama za kiraia umpeleke za kijeshi, acha maneno, wewe utakuwa mmojawapo wa wanaofanya mabaya hapa TZ, kama kumtolea bunduki raia mchana kweupe, kuteka na kupoteza watu
The best move no kubofesha while za seikali ili tuhamishie huko watoto wetu hawa jamaaa wakiona tumehamishia serikali watadshusha tu hata chini yz hiyo being elekezi
Ohhoo!! good huyu yuko vizuri kwa uandishi hata atakayetaka kumarrest lazima ajihoji saana, lakini nimkumbushe kidogo mfumo wa utawala wa Gaddaf, M7, Kagame na CCM ni mmoja tu, hauna tofauti ila wao ni one man show kwetu sisi ni one part show, haiwezekani kwenye nchi iliyopevuka kidemocrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.