Ukitaka kura za wananchi wewe mgombea Uraisi wa nchi hii wahakikishie wananchi kwamba huna pesa nje ya nchi hii, uwe na ujasiri wa kuwakemea walio na pesa nje ya nchi na uwape siku 30 wazirudishe. pia waambia wananchi maoni yenu yaliyotupwa na bunge la katiba yatarudihwa hasa yale yaliomo...
Kweli Lowasa ni dhaifu kwa sababu hata ishu ya Escrow hakuwahi kuongea ili kuonyesha kama ana kerwa sasa ni Raisi gani huyo mtarajiwa. Kama anaumia anapoona umasikini wa watanzania kitakacho muongoza kama ni ile rasimu ya Warioba
Lowasa kama anataka uraisi na ashinde kwa kishindo basi awaahidi watanzania rasimu ya Warioba ndiyo itakayopitishwa. Maana bila hivyo hawezi kuibadilisha nchi kwa utawala huu na viongozi hawa hawa
Tishio la IGP kufuta vikundi vya ulinzi za vyama vya siasa pia uhusishe na hivi vya ulinzi shirikishi kwa sababu vyote haviko kisheria. kumbuka ndiyo ninyi mlaoleta vurugu katika kusanyiko la wana siasa kwa kurushia mabomu watu halafu vurugu ndiyo zinapoanzia. kwanuni hamsubiri watu wamalize...
Nimewahi kusema nchi hii ina Rais wawili ila watu wanamjua Kikwete tu lakini yuko Rais mwingine anayeendesha hii nchi lakini huyo amejificha. Leo Kikwete akisema ndiyo huyo aliyejificha akisema hapana kesho Kikwete naye atageuka atasema hapana lile lile alilokubali jana ndiyo.
Jamani hii tume sio ya kusimamia kura za maoni, inatakiwa tume huru. Tume hii ni ya rais kaichagua yeye sasa unategemea nini katika katiba hii. Hawawezi kusema kweli watapindua matokeo ya kura ya maoni tu. nani wa kuwauliza na sheria inasema hakuna kupinga matokeo yakishatangazwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.