CCM: Mnaitia aibu Tanzania

CCM: Mnaitia aibu Tanzania

Walisema serikali tatu ni kuongeza gharama leo wanataka kuongeza majimbo 40. wakati Warioba kwenye tume yake walileta mapendekezo wabunge wasizidi 70
 
[QUOTE= kwao serikali tatu ni gharama lakini kuongeza majimbo 40 sio gharama. kweli hawa wamechoka.
 
Tanzania idadi ya watu haizidi milion 45 mpaka muda huu.. Na kwa idadi hii tuna Wabunge 360 mjengoni wanameza kodi zetu bila tabu.

Na wakati huo bado inaendelea kulipasua taifa kuongeza majimbo ambapo tutegemee idadi ya wawakilishi itaongezeka na kufikia 400 kwa jinsi hali inavyoonekana.

Nchi ya india ina idadi ya watu bilioni 1.4 na inawakilishwa na wabunge 400 tu.

Serikali ya ccm hii ni aibu kubwa kwa kinchi maskini hiki cha Tanzania.

Naomba wananchi tufanye maamuzi magumu au tutumie fursa iliyopo katika kipindi hiki kufutilia upuuzi huu unaotuongezea umasikini kila uchao usiokuwa na sababu yoyote kwa kushiriki kujiandikisha na kushiriki kwa kupiga kura kuizika hii chama mbofumbofu inayotuletea shiddda nchini kwetu.
cc: faizafoxy, mussa allan, ritz, laki si pesa
Mkuu nafikiri hili si jambo dogo, watawala hawawezi kulizungumzia hili maana lina maslahi upande flani, sasa nashauri tuanzishe vuguvugu la kukataa huu ujinga kwa kukusanya saini za watanzania ikibidi hata kupinga mahakamani, pia nafikiri jaji Lubuva tunaweza kumshitaki kwa kaunzisha majimbo mapya kwa maslahi ya chama fulani na sio maslahi ya taifa.
 
badala ya kuanzisha barabara za kuunganisha nchi wao wanaanzisha majimbo ya kutenganisha nchi.
USHAURI WA UBWETE:-
WAKUBALI TU WAMESHINDWA
 
Back
Top Bottom