Tatizo hii nchi wameshindwa kukunya kodi vizuri za TRA sababu kuu biashara karibu kubwa zote zinamikono ya viongozi wa hii nchi. Ukiomba risit utapigwa maneno kuwa machne mbovu na mizgo wanayonunua unakuta inapita bandarini bila ushuru.
Matokeo yake wanaona ngoja watumie mbinu yakuwaumiza watu...
Kama unataka kwaajili ya matembezi au kupanda wawili na siyo mizigo chukua boxer ni pkpk nzuri saana,kikubwa zingatia service na kama kwaajili ya kazi za shamba chukua sanlg au kinglion zipo vzur sana
Ndugu zanguni samahanini humu najua kunamadokta na wataalam wa afya,naomba kueleweshwa ,
Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa ,akienda hospitali wanamwambia NI UTI anapewa dawa za uti ule ute ute unaacha kutoka ,lakin sasa wakati wa tendo uchi wake...
Doctor
Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa ,akienda hospitali wanamwambia NI UTI anapewa dawa za uti ule ute ute unaacha kutoka ,lakin sasa wakati wa tendo uchi wake unakuwa mkavu hata umuandae vipi ute ute wa kuashiria yupo tayar hautoki,na kama...
Ndugu zanguni samahanini humu najua kunamadokta na wataalam wa afya,naomba kueleweshwa,
Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa, akienda hospitali wanamwambia ni UTI anapewa dawa za uti ule ute ute unaacha kutoka lakin sasa wakati wa tendo uchi wake...
Nina rafiki yangu ameoa huu mwaka wa tano yupo kwenye ndoa hawajabahatika kupata mtoto wala hawajawahi kupeana ujauzito hatta kwa bahati tu,,
Naombeni msaada wenu wa kimatibabu au nini Cha kufanya ili tatzo liishe
Doctor nina tatizo ila sijui ni tatzo gani naomba nikueleze,
,Kwa kipindi Cha miaka mitatu Sasa,,nikifanya mapenzi na mwanamke maji maji machafu ukeni yanaanza kumtoka soon after 24 hrs,akienda hospital anaambiwa ni UTI na fangasi atapewa dawa za kumeza na kupachika au sindano
Na Mimi naambiwa...
Naombeni maelekezo ya kina juu ya torque, lakini pia juu ya Power,namna zinavofanya kazi katika gari,kipi kinamtegemea mwenzie zaidi na vinamaana gani katika kuelezea uwezo wa injini katika gari husika?
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Acha uongo mzee,hiyo Sauli ulikuwa unaifata na gar gan,? Usije fananisha speed 50 ya Basi na gari ndogo,,kwasababu gar. Kubwa inamzunguko mkubwa wa tair vivyo hivyo speed 50 ya Basi kutokana na ukubwa wa tair we mwenye gar ndogo unaweza fika speed 60+ili uwe naye mwendo sawa!!,akiwa speed 85...
Boxer 125,itakufaa zaidi,muonekano mzuri,na inanguvu zaidi ya TV's,inamwendo kuzidi tvs ,lakini pia inabalance kuzidi tvs,ukiwa kwenye mwendo mkubwa ukipishana na gar haikuyumbishi ukilinganisha na tvs,
,,Boxer itakufaa zaidi,
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Kama itakuwa bado ipo jumapili ntakuwa apo uhakika niwekee Kama ctaomba punguzo la Bei,,ila kikubwa nitumiee specifications zake inbox,tuyajenge!!,make sure ,,upo na details za kuimiliki,
Ndiyo,Dr Banda nmekutana naye mwezi wa kumi na mbili kabla ya krismas,,,then nkamwona dean of faculty+school,,Kwa tatzo nilonalo ,,walikubaliana nifanye hivo,,, kabla cjafanya mitihan ya semister ya KwanzA,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.