Yaaaaaahhh hata mimi nilifikiri sana juu ya hili swala kwanini lishughulikiwe na nchi nzima badala ya mkoa au wilaya husika hata hivyo watoto wetu wenyewe hawasomi kabisa asilimia kubwa ni wachache mno wanaoheshimu elimu
Yaaaaani kwa hapa nishaanza kuona watu wanataka kujitukuza kuwa mungu Wa Dunia wakati yeye aliye Juu yupo hai
Kwahio Magufuri akiguswa kunakuwa na msiba kwani
Haaaaaaaaa unajua mtu mmoja hawezi kujenga nchi Bali umoja hujenga kwahio aunde watu rafiki tuu sasa akiwa anafukuza KAZI watu kila siku itakuwa nayo tabu tuuuu
Hahahahhaaa toroka uje maana naona maneno yako ya mwanzo na mwisho yanatofautiana Lowassa ni msafi asilimia mia kwa kugombea urais na ndio maana neck hawakumpinga
Hhhahahahaa watu wanavituko kesho yake watasema wanaleta kipindupindu wakati wao wenyewe waliungana kusonga na kupika kwa pamoja yale yale ya kupiga push up jukwaani njoo na sera watu wasikilize sera mwenzako aliwatembelea walisema anahatarisha maisha yake na ya watu wengine je yeye anafanyaje
Hata mimi naona nguzo za miti hazina faida kwani zinaharibikaaa haraka na kufanya waanze kutafuta upya miti lakini ikiwaa nguzo za nzege ni miaka nenda rudi hakuna kuharibika.
Namshukuru mchina na mkorea kwa kutuuzia simu za bei nafuuu alafu nzuri kila mtu anawaona wajinga na wenye akili wenye kujali na kutokujali daima mbele yetu tupo sisi wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.