Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Mwenyekiti wa bunge Mary Mwanjelwa ameonyesha msimamo thabiti wa kusimamia kiti,Baada ya waziri wa nchi sera na uratibu wa bunge kutaka kushawishi kiti kimchukulie hatua Halima mdee kwa kusema anekiuka kanuni.Hata hivyo Mwenyekiti huyo ameonyesha msimamo juu ya swala hilo,hata pale Mwakiembe na Hamis Kigwagala walipoingilia na kusisitiza adhabu kwa halima.Mwenyekiti huyo alisimamia msimao wake kuwa Halima was right.
Mtifuano huo umeanza baada ya Mdee kumtaja Rais Magufuli alivyotenda akiwa waziri wa ujenzi,Na waziri wa nchi kusema ni kosa kutaja jina la rais bungeni,Mdee alisisitiza ni kosa kumfanya Rais untouchable wakati wanaisimamia serekali.