Recent content by kelenyende

  1. K

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia: Hujaji wa Tanzania afariki dunia baada ya kuugua ghafla

    Katika mambo ya Roho Peponi ni kwa shetani labda kimwili ndio mbingun na Mungu ni roho hapo sasa. Utashangaa watu wanaambiana marehemu alazwe mahali Pema peponi aisee Tumuombe Mungu
  2. K

    JamiiForums Tanzania Joshua alilisimamisha Jua

    Mwombe Mungu boss utajua jua linamaanisha nin bibilia sio gazet
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Bado unaziuza?
  4. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Wizi unakujaje kaka hapo mi sio duka nami nlinunua sasa siitumii kutoka na na mazingira sijatulia sehemu moja mteja akipatikana tuna negotiate sasa Mali yangu bado uniite mwizi dah samahan kaka kama nimekosea kuweka humu atakaetaka mtafutie
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    250,000 NAUZA WAKUU
  6. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Jeshi linaloishi kwenye nyumba mbovu zaidi Tanzania. Wanafuatia Magereza

    Hamia bas kwenye mjengo wako mkuu na wenzio ambao hawajajenga wamepanga wapate ahueni kodi wanazolipa wakanunue nao viwanja tusaidiane
  7. K

    JamiiForums Tanzania Historia yangu juu ya punyeto na ngono jinsi nilivyopata uraibu

    Hapa aoe kabisa ili Liwe na baraka za Mungu hilo zoezi sio za shetan
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni filamu gani uliyowahi kuiangalia na ukaikubali kwa asilimia zaidi ya 90?

    Tears of the Sun
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Series Kali isiyochosha wala kukinai Tafadhali!

    Brave
  10. K

    JamiiForums Tanzania Zigooo zigoooo

    I
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Nina mke ila kuna binti nampenda kweli

    Afu ukikamatwa na mkeo unasema shetan kanipitia[emoji83][emoji83][emoji83] sa hivi hujakamatwa humuoni shetani [emoji23]. Fanya logic moja tu hapo mkeo nae apigwe kama unavopiga ule moyo kama hautauma bas humpendi ila ukiuma bas wewe ni MPUMBAFU WAHI KATUBU
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dish la KU_band na receiver ya FTA ukiset vizuri unaweza kupata channel ngapi wakuu?

    Ninaking'amuzi cha free satellite sijui kukitumia channel za free na mipira imo naomba pesa 300,000 kabla wataalam kuja
  13. K

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Besigye ashinda kesi, kulipwa Sh80 milioni

    Safi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaisrael hadi leo sio wakristo, na bado wanaitwa taifa teule la Mungu?

    Israel ni wewe na Mimi achen kusingizia nchi ya watu na mmbadirike tabia
Back
Top Bottom