Recent content by Keleni Tangila

  1. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Magufuli sio kiongozi, ni mwanaharakati tu kama wengine

    Charmilton hukumuelewa kweli wewe bwege kwani mwinyi alifanya nini kulingana na maelezo ya mtoa mada acha umbugila wewe
  2. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

    Nimeamini kumbe yakale huwawa dhahabu
  3. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Andrea Bellot kalibu Manchester

    Nenda YouTube Jose
  4. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Andrea Bellot kalibu Manchester

    Huu mkuki ukitua Man wapinzani watakoma
  5. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Tundulisu huwa hakulupuki kaka
  6. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Kelvin Nashon Naftal

    Kiukweli kijana huyu anaye chezea Tim ya Selengeti boyz nampenda na jezi yake namba 20 pia kafanana sana na Ngolo Kante lo ni noma sana huyu dogo
  7. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kununua mahindi

    Proskaeur inawezekana we nope kazi tu
  8. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kununua mahindi

    Asante bwana lubamba uko pande zipi
  9. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kununua mahindi

    Kwa sasa yameshuka kilo moja na nusu tuna nunua 800
  10. Keleni Tangila

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya kununua mahindi

    Wadau Mimi naitwa Keleni niko kasulu natafuta matajili watakao nipa tenda ya kununua mahindi sisi hapa kasulu mahindi ni mengi kwa bakuli la kilo moja na nusu tuna nunua shilingi 1000 naomba kazi hiyo kwa ninyi ambao mko mikoani nitafute kwa namba 0757250813 au 0745053835
Back
Top Bottom