The Buzwagi Saga: Karamagi aenda kusaini Mkataba wa ULAJI London

Ukitafuta waliotufikisha hapa kwa majina utakuwa unapoteza muda bure.....maana ccm wanashirikiana kupitisha uchafu wote tena kwa kuitwa na kupigwa beat na mwenyekiti kwa mtu atakayepinga miswada bungeni. Hii mimbwa ikiishaitwa na mwenyekiti kazi inayobaki nimiwachokoza wapinzani wenye akili nyingi kwa kutumia uwingi wao (wengi wape hata km ni wapumbavu na mabashite km ccm? Hapa wahenga sikubaliani nao katu....)
Tena haya malafi makubwa ccm yanapitisha haya mambo huku yakitukana watz matusi ya nguoni na kwa kejeri na dharau huu huku hii mafisadi ikipiga tu makofi....
Watz hawaitaki lkn inalazimisha kukaamadarakani kwa mabavu kwa goli la mkono bara na kwa kupora ushindi wa wazi visiwani
Shame I you ccm
 
Huyu karamagi ndo anauliza asaidie nini?.wamepiga na wanajiamini,kama kawaida tunayoyaona na kuyasikia si ukweli kamili ndo maana hata waliotajwa wanakuja kutoa kauli rahisi "sizungumzi na mtu mimi"Chenge.
 
MWANAHALISI.jpg
 
Back
Top Bottom