Recent content by Kekule Wa Benzene Ring

  1. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Wosia wangu kwa wasiokuwa Waislam

    Uislamu usipoujua Vizuri unaweza kuhisi ni dini ila Kwa Sisi ambao YESU ametuokoa na kutupa kuijua kweli toka Huko Kwenye Mapokeo ya kina Mzee Mangoma Said Libalaluke Lindi Huko Hadi ametuweka hapa Nuru kwake na ndani yake KRISTO tunaenda... Tunaishi na kuwa na Uhai wetu na uhakika wa maisha...
  2. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kitanda, una nini chumbani kwako kinachowasaidia wewe na mwenzako kubadili ladha ya chakula cha usiku?

    Kwahiyo na wewe Shangazi una Guba ya uajemi. Au Strait of Hormuz kama yeye
  3. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na kitanda, una nini chumbani kwako kinachowasaidia wewe na mwenzako kubadili ladha ya chakula cha usiku?

    Dada nasikia yule Binti wa UDISM ni mdogo ako wa Toka nitoke
  4. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo Lissu atatolewa kwasababu ya mapendekezo ya Tume yatakayosomwa kesho?

    Poleni na mvua zinazoendelea jijini na miji mbalimbali hapo nyumbani. From my trusted source pamoja na kuwa report ya kesho Itakuwa na madudu mengi na ya ovyo ovyo ( Kitu nilichotarajia tangu day one) maana muundiwa tume aliunda tume. Ila Ili kuua sooooo. Ya kuwa Lissu ametoka kisa hana kosa na...
  5. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Umeshapata mwenza,!??
  6. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Pray for Tundu Lissu

    Habari! Toka jumamosi iliyopita nikiwa safarini toka Nyumbani Tanzania Kwenda Ughaibuni niliko jishikiza kimaisha as Diaspora najisikia Ndani yangu kumuombea TUNDU A. LISSU. Mimi sio mwanasiasa na Sina itikadi ya chama chochote Kile ila ninachojua Tundu Lissu ni Mmoja wa watu ambao Mungu...
  7. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

    Sikumla niliishia kumtamani Tena ni Enzi za ujana saizi nimezeeka sana. Uyo Mchaga ni wife material Sema basi tu nimechelewa kukutana Naye kanikuta Wakati ambao life imenipea Lemon na Sina blender ya Kufanya Lemonade
  8. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

    Hahahaha we njoo PM uone utaolewa Bila mahari
  9. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

    Ujaona vidole vyangu wewe ntatamani uolewe na mimi
  10. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

    Njoo ninavyo Ivyo vidole
  11. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Watoto na wazee wameshalala, njooni tuzogoe!

    1. Wiki Tatu zilizopita Kabla sijakimbilia Ughaibuni Kuna Mchaga nilimpata aisee Mweupe ana Tako na fundi balaaa. 2. Kuna ndugu Yangu nusu nimtongoze nikaogopa tu wazazi wakijua Máana kakulia home
  12. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Vijana msihadaike na Mawaziri feki kama Joel Nanauka

    Nimeshuhudia jinsi vijana wanavyotolewa kwenye reli na MAWAZIRI feki na viongozi feki kama vile Joel Nanauka ( aliyepewa uwaziri wa vijana). With due respect Kwenye uwezo wake na Elimu yake na hata kuwa mwamini mwenzangu wa Kiroho Kwenye kanisa moja ila siungi mkono uwaziri wake na Serikali...
  13. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kipi kifuatacho baada ya maandamano ya kumuondoa Samia kufeli

    Watanzania wenzangu huko nyumbani Poleni sana Kwa msiba wa kitaifa na kupoteza ndugu zetu. Mungu awape faraja na kuwafunga Mkanda. As I speak nipo abroad kimasomo na ni nchi ya bara la Asia nimekutana na mtu Wa South Korea Alikuwa ananihadithia Hali Yao ya mabadiliko Hadi wamefika hapo walipo...
  14. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Huyo Me mwenyewe ni walewale siku hizi Mods wake Kila siku wanafuta Threads Ambazo haziizungumzii vizuri serikali may be wamechelewesha pay roll yake ndomana leo ametoka hadharani anabweka
  15. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa tumefikishwa hapa kwa sababu ya Lissu.

    Bro wapi UPO nikununulia Nyama choma na sharubati ijumaa hii
Back
Top Bottom