Recent content by KEKO JUU

  1. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Mlioko Dar naombeni muongozo. Maisha yakoje huko?

    Uzee mwisho chalinze
  2. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania CCM siyo tena chama cha siasa bali ni ni kikundi cha wahuni. Huo ndiyo ukweli

    Sio wahuni tu, watekaji, wezi, wauaji
  3. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Makonda ndani ya ufunguzi kombe la dunia Mexico

    Kupata uzoefu wa kuandaa kombe la dunia? 😅😅 Kama afcon tu,inawashinda
  4. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Nimeachia Wimbo Maalum wa Tundu Lissu — Karibuni Kusikiliza

    sosybrown.vercel.app
  5. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Je, hii ni hali ya mahudhurio ya wafuasi wa CHADEMA Kahama?

    Endeleeni kujidaganya
  6. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Website and App development

    Natengeneza website,web apps kwa bei nafuu sana pamoja na kuhost, pia mobile apps nicheki 0745028158 Mifano ya web apps zilizotengenezwa sosybrown.vercel.app
  7. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Nimeachia Wimbo Maalum wa Tundu Lissu — Karibuni Kusikiliza

    Nimeachia wimbo mpya unaomzungumzia Tundu Lissu kwa style ya kipekee. Nimeuweka kwenye website yangu mpya ya http://sosybrown.vercel.app Ukisign up utaweza kuusikiliza pamoja na kuona project nyingine zinazokuja Karibuni mu-support kazi ya kijana wa Kitanzania 🙏 Ningefurahi kupata maoni yenu...
  8. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hii sio ile ya kina Dkt. Slaa, hii ya sasa inavizia kufanya mikutano kwenye mikusanyiko kama masokoni na stendi

    Na nyie mnaobeba watu kwenye malori kama ng'ombe
  9. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Mwenezi CCM Kenani Kihongosi: Mnafundishwa kuchukia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, acheni hiyo dhambi

    Tunafundishwa?? You're very stupid, usijitoe ufahamu jeshi la polisi ndo limekuwa mstari wa mbele kufanya uhalifu, kuteka watu, rushwa na kila uchafu
  10. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Hapa sinza mabikra wanapatikana wapi nioe?
  11. KEKO JUU

    JamiiForums Tanzania Kwanini Heche hapingi vita Mashariki ya kati?

    Wakipinga wao itasaidia nini?
Back
Top Bottom