Recent content by keithevans2685

  1. keithevans2685

    Je, msioamini uwepo wa Mungu, mnaamini uwepo wa Shetani?

    Mambo ya Majini na Kulogwa nayo siamini,Majini na Kulogwa ni matatizo ya kisaikolojia na issue ya "sintofahamu" Matatizo ya Kisaikolojia Kabla ya watu kuanza kufanya utafiti wa mambo ya kisaikolojia,matukio ya Majini yalikuwa mengi sana,Makanisa kama Roma Catholic walikuwa wanaombea watu na...
  2. keithevans2685

    Sackur: Good to see my interview with Tundu Lissu has stirred passionate debate!

    Personal attack badala ya kujadili hoja za Msingi Tukiambiwa wavivu wa mawazo,Mnasema mnatukanwa Sent from my LG-H990 using JamiiForums mobile app
  3. keithevans2685

    Mfahamu Stephen Sackur wa BBC Hard Talk - the world famous interviewer who is tougher than Paxman

    Yuko kwenye streaming services now,ana kipindi kipindi Larry King Now Sent from my LG-H990 using JamiiForums mobile app
  4. keithevans2685

    Stephen Sackur wa BBC HARDtalk akubali kumhoji Rais Magufuli

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Sent from my LG-H990 using JamiiForums mobile app
  5. keithevans2685

    Wazungu siyo watu wa kuaminika kwa 100%

    Habari imeandikwa serikali ya Ujerumani isaidiane na serikali ya Tanzania ili wafunge kinu kikubwa cha gesi,kwasababu tuna hifadhi ya kutosha ya gesi,kuliko kutengeneza bwawa. So issue haihusiani na uchumi wetu au sijui tuna ndio "uwezo wetu",afterall usizuge kama tuna hela za kujenga hilo...
  6. keithevans2685

    Wazungu siyo watu wa kuaminika kwa 100%

    Kutunzwa kwa rasilimali za nchi,ni pamoja na kuruhusu Vyombo huru,vilivyo nje ya serikali kufanya ukaguzi Huwezi wewe kujikagua mwenyewe,wakikukagua wengine unakua mkali,halafu unajisifia unasimamia Mali za wananchi,Nani anahakiki Hilo kama si wewe peke yako!? Also ulinzi wa Mali za...
  7. keithevans2685

    Wazungu siyo watu wa kuaminika kwa 100%

    Kama haijatolewa,iko wapi!!?Mbona watu wakihoji hela iko wapi,Jamaa wanakuwa wakali!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. keithevans2685

    Kwanini Afrika ni Tajiri Waafrika(wengi) ni Masikini?

    Elimu ya kweli,Utawala Bora na Demokrasia ya kweli ndio siri ya nchi nyingi kuendelea. Watu wenye Elimu nzuri wakiwa huru na Utawala Bora,ndio ubunifu unaanza,una serikali inafanya kazi kwa watu wake, Viongozi ambao hawana uwezo wa kudanganya ovyo wananchi,wananchi hawatajisikia vibaya...
  9. keithevans2685

    European Court of Human Rights says that homosexual marriage is not a human right

    Acheni kusambaza habari ambazo hazina ukweli Trump hana ubavu wa kukataa ushoga Huyu hapa akikubaliana na ushoga,wakati anagombea urais,akiwaomba mpaka kura
  10. keithevans2685

    European Parliament resolution on Tanzania

    Statistics za dini na France,kila mtu atavuta upande wake since 50% Catholics na minorities 8% pia iko Wikipedia, as 29% atheists and 69% irreligious,so usiwe so mwepesi ku'jugde watu while unatumia sources hizohizo, tatizo tulilonalo wote wawili tume'fall victim wa confirmation bias,tunafuata...
  11. keithevans2685

    European Parliament resolution on Tanzania

    Unaongelea nchi kama France ambayo population ni 69% irreligious na 29% ni atheists,ofcourse by default wataokamatwa wengi ni waislamu kwasababu pia France ndio nchi inayoongoza ulaya kwa kuwa na waarabu wengi,ambao wengi ni waislamu pia. Utamaduni wa kifaransa kwa muda mrefu sana haukubaliana...
  12. keithevans2685

    European Parliament resolution on Tanzania

    Sorry ndugu hoja yako haina mashiko yoyote....nchi kibao zimekubali mahusiano ya jinsia moja toka miaka 1960s na ndoa za jinsia moja toka miaka ya 2000 na hakuna chochote kuhusu sodoma,gomorrha wala majanga ya kimataifa,so either Mungu wako hana tatizo hiyo hiyo issue au hayupo at all. Btw...
  13. keithevans2685

    European Parliament resolution on Tanzania

    Hiyo issue ya kutokuvaa niqab,sio tu kwa waislamu tu.....Ufaransa hurusiwi kuvaa ishara zozote za dini kwenye ofisi za serikali au mashuleni,inawahusu wakristo,Jews na dini zingine pia. Hii ni history ndefu ya secularism iliyojengwa na hizo jamii za huko,kama una dini then ifanye huko chumbani...
  14. keithevans2685

    European Parliament resolution on Tanzania

    Nchi zote zilizowekewa embargo zilianguka kiuchumi na kushindwa kuwahudumia wananchi wake,unafikiri hawakuwa na mvua,jua na ardhi!? Iran,Venezuela zina mvua,jua,ardhi na mafuta na still uchumi wao umebomoka kutokana vikwazo.
  15. keithevans2685

    European Parliament resolution on Tanzania

    Kweli kabisa Mzee,serikali na vijana wa Lumumba wanashadadia ushoga while report imeelezea mambo kibao kuhusu uvunjaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia,hawaongelei kabisa
Back
Top Bottom