Mfahamu Stephen Sackur wa BBC Hard Talk - the world famous interviewer who is tougher than Paxman

Kuna mzee mmoja alikua CNN anaitwa Larry king,American television host,sijui alipotele wapi yule mzee,pia yupo vizuri sana kwa maswali.
 
Screenshot_2019-01-22-15-10-48.png
 
Hivi BAVICHA akili zenu mmemuachia Mbowe huko Segerea?

Kwanini mnapenda kuwadhalilisha watanzania? Hivi kweli mnamaanisha IQ za watanzania ni ndogo kama mnavyotabainisha?

Eti Lissu tu ndo mwenye hadhi ya kuhojiwa na HardTalk, shenzi type kabisa.
Ndo maana tunaambiwa UVCCM uwezo wenu umefika kikomo, mtaishia tu kutukana kuwa mnadhalilishwa wakati uchambuzi wa wenye akili unaonesha ninyi hamna kitu. Bahati mbaya sana ni kuwa pamoja na kuwa weupe hivyo, ndo nmaongoza nchi- lazima itaenda shimoni. Kama alivyopata kusema Charles Bukowski, "The problem of the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence". Na hili ndo linajitokeza nchini kwa sasa.
 
Our education system doesn't help student to think and question....it all about craming!!

Many Tanzanians will dislike anything that inspires thinking and questioning. Even our leaders ask us not to be critical or ask critical questions. If someone happens to behave otherwise, he/she is gossiped upon and branded a bad apple. And this culture is everywhere in our society, be it at home, at school, at workplace, and so forth.

I personally, never saw many successful people who go easy and adapt to any culture, even the bad culture like ours. We see high ranking leaders breaking with their presidents everywhere in the civilized countries. Even the leader of the most powerful country is frequently rebuked by his own appointees. Gen Mattis for example, a minister of defence, overseeing the largest military on earth, could break with the commander in chief. In a country such as ours, that would be suicidal.

I am of the view that, as parents, we must teach our kids to ask things out and question whatever we feed them. We must promote a nation with strong people than a country with dictatorial leaders with we
 
Hata wakitaka kufanya mahojiano, sidhani kama team ya Sucker itawatambua na nani atawapa ruhusa. Kama wanataka kujibu hoja za TL wampeleke bosi wetu halafu tuone matokeo. Kwa Sucker hakuna bakora au dola ni mantiki na ubingwa wa lugha ya malikia.

Usinikumbushe ile press conference ya kule Uganda ambapo maswali ya mwanahabari wa kawaida tu kwa lugha ya malkia tulishindwa kuelewa wachilia mbali majibu. Labda tutumie lugha yetu ya mama! Sipati picha Steve Sucker kujibiwa: human rights is not our priority!
 
Kwanza niseme, tukimwacha Benjamin Mkapa na Lazaro Nyalandu waliowahi kupata heshima ya kufanya interview BBC HARD TALK, kwa hii CCM ya sasa ya akina Makonda, Polepole na Jerry Murro hakuna mtu mwenye hadhi wala uwezo wa kufanya interview BBC Hard Talk - si Mwenyekiti wala Katibu Mkuu

Sasa BBC Hard Talk ni nini? Na Stephen Sucker ni nani? Soma makala hii hapa upate ufahamu - but kwa kifupi tu(excerpt?):

"Nothing about it is dumbed down. Each programme consists of a single 25-minute, face- to-face studio interview. Its guests are serious people, not airhead celebrities. It uses no video clips, pictures or gimmicks. It has little humour."

Sasa endelea kusoma:

Meet Stephen Sackur – the world famous interviewer who’s tougher than Paxman

Ukisoma ukimaliza ndo utajua Tundu Lissu siyo wa level ya Magufuli wala Bashiru wala Ndugai
Other factors remain constant!!!

My doubt ni kwamba hivi kwa mtu ambaye wewe ni msomi unaweza ukaweka comment au uka argue kwa statement kama hii ktk paragraph ya kwanza??? Utakuwa unafikiri kweli!? Hata kama kuna impurities za kisiasa utakuwa uko serious kabisa and you will be taken in the context of political analytic???

Hivi kweli dkt Bashiru unasema hawezi kwenda hard talk BBC??? Hv unamjua huyu dokta kabla ya kuwa CCM???

Sjajua umetumia vigezo gani kuandika huu upuuzi japo huwa sina utamaduni wa kutumia provocative language ila kwahapa umenifanya nijiulize maswali mengi sana!!!

Haiwezekani na hata haitatokea ati useme nobody under this gvt can be interviewed at BBC hard talk!!! You are absolutely wrong!!!

Naomba tuwe tunapata wasaa kabsa wa kufikiri kabla hatujaandika pumba humu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi BAVICHA akili zenu mmemuachia Mbowe huko Segerea?

Kwanini mnapenda kuwadhalilisha watanzania? Hivi kweli mnamaanisha IQ za watanzania ni ndogo kama mnavyotabainisha?

Eti Lissu tu ndo mwenye hadhi ya kuhojiwa na HardTalk, shenzi type kabisa.
tulia sindano iingie mkuu!!
 
Nyalandu ni serious person? The gods must be crazy.
Do you doubt him? Ask yourself how it came kwamba yeye ndo alifanya interview BBC Hard Talk na wala siyo President Kikwete wakati walikuwa wote London, na jiulize who took Tundu Lissu to Brussels, and to London for the BBC interviews - and ask.yourself who is arranging all those meetings between Lissu and European leaders/institutions - tatizo wabongo hamna uwezo wa kufikiri wala kuona vitu!
 
Kwanza niseme, tukimwacha Benjamin Mkapa na Lazaro Nyalandu waliowahi kupata heshima ya kufanya interview BBC HARD TALK, kwa hii CCM ya sasa ya akina Makonda, Polepole na Jerry Murro hakuna mtu mwenye hadhi wala uwezo wa kufanya interview BBC Hard Talk - si Mwenyekiti wala Katibu Mkuu

Katibu Mkuu Bashiru yuko vizuri anaweza. Kwa wengine sina hakika
 
Other factors remain constant!!!

My doubt ni kwamba hivi kwa mtu ambaye wewe ni msomi unaweza ukaweka comment au uka argue kwa statement kama hii ktk paragraph ya kwanza??? Utakuwa unafikiri kweli!? Hata kama kuna impurities za kisiasa utakuwa uko serious kabisa and you will be taken in the context of political analytic???

Hivi kweli dkt Bashiru unasema hawezi kwenda hard talk BBC??? Hv unamjua huyu dokta kabla ya kuwa CCM???

Sjajua umetumia vigezo gani kuandika huu upuuzi japo huwa sina utamaduni wa kutumia provocative language ila kwahapa umenifanya nijiulize maswali mengi sana!!!

Haiwezekani na hata haitatokea ati useme nobody under this gvt can be interviewed at BBC hard talk!!! You are absolutely wrong!!!

Naomba tuwe tunapata wasaa kabsa wa kufikiri kabla hatujaandika pumba humu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo mpuuzi, kwanini useme Dr Bashiru anaweza lkn ukwepe kusema kuwa Magufuli naye anaweza? Kwani nilimtaja Bashiru peke yake hapo?
 
Huu ndio mwanzo wa hizi interview na zinaendelea, kijani kwa haraka haraka wanadhani wamewini ngoja ziendelee,muda si mrefu utasikia mabeberu,Stephen sackur sio beberu? Na leo polepole kamuita mwanaccm mwenzao muda si mrefu vilio vya kuita watu mabeberu vitaanza.
 
Kwanza niseme, tukimwacha Benjamin Mkapa na Lazaro Nyalandu waliowahi kupata heshima ya kufanya interview BBC HARD TALK, kwa hii CCM ya sasa ya akina Makonda, Polepole na Jerry Murro hakuna mtu mwenye hadhi wala uwezo wa kufanya interview BBC Hard Talk - si Mwenyekiti wala Katibu Mkuu

Sasa BBC Hard Talk ni nini? Na Stephen Sucker ni nani? Soma makala hii hapa upate ufahamu - but kwa kifupi tu(excerpt?):

"Nothing about it is dumbed down. Each programme consists of a single 25-minute, face- to-face studio interview. Its guests are serious people, not airhead celebrities. It uses no video clips, pictures or gimmicks. It has little humour."

Sasa endelea kusoma:

Meet Stephen Sackur – the world famous interviewer who’s tougher than Paxman

Ukisoma ukimaliza ndo utajua Tundu Lissu siyo wa level ya Magufuli wala Bashiru wala Ndugai

Nimesoma yote ndugu...

Stephens Sucker anasema:

".....I go in heavily armed....."

Na sababu ni:

"....sometimes some of the Interviewees lose their temper......"

Sasa nikajiuliza mtu kama John Pombe Magufuli asiye na exposure yoyote, asiye na ufahamu wowote wa Global current issues, itakuwa ni kituko!!

Dunia itashangaa na kupigwa butwaa pale mtu atakaposema:

"....Yes we're in the lait traiki and we re the dona kantrii ........and Saddam Hussein was president of Kuwait....."
 
Back
Top Bottom