Humu watu wanajifanya wanajua wakati hawajui lolote na story zao za vijiweni,,ukiwauliza kama pale old Moshi wamefika,,ni dhahiri hawajafika,lushoto wamefika au lupaso,,wakiona nyumba ya kumbukumbu ya marehemu baba yake mzee Mkapa wanajua ndo nyumba iliyopo,,wakati kuna mjengo wa maana tuu...