Bukoba: Mji wenye historia lakini kimaendeleo umepitwa na miji mingi sana nchini. Tatizo nini?

Shida ya Bukoba hawajengi kwenye mji wao wanajenga Vijijini kwao hawa wahaya! Ukienda Vijijini kwao ni pazuri sana. Ila Bukoba mji ni pazuri sana tu
Hiyo ni shida ya Bukoba au shida yako" shida ya unavyoona na kupenda wewe?".Bukoba ipo haina shida ila wewe ndiyo unaona shida katika ulimwengu wako wa kifikra.
 
Nilipita hapo mwaka jana, pako vile vile..kushangaa watu hawashangai ila kuzungumza kilugha ndio ilinishangaza.

Mimi nilipapenda sana, pamekaa natural, na patulivu mno.
Wangeboresha miundombinu tu ingetosha.
Wabongo bana wakienda China wakikuta wachina wanaongea kichina hawashangai lkn wakienda Bukoba wakikuta Wahaya wanaongea kihaya wanashangaa,,labda kama hujui tuu Wahaya hata ukiwakuta US au UK wataongea kihaya,,wanapenda lugha yao.
 
Building mansions in the middle of banana farm is an insane idea because the houses are almost valueless. Worse still, the burial area is on the same farm. So the house can't be transferred to non family member.
Bukoba would be a different place if those houses were built in BK municipality and valued more with a higher equity value.
Kwa hiyo migombani patelekezwe?

Nyie ndo mnataka nchi iwe na miji Tu huku vijijin ni choka mbaya.

Kwamba unasapport rural urban migration ambayo inaefect Sana.

Nenda uswisi na huko Norway tazama vijiji vilivyo.
 
Bukoba ujuaji mwingi
,wahaya hawana lolote
Hebu enjoy bukoba kidogo
images%20(56).jpeg
View attachment 1464532View attachment 1464533
images%20(57).jpeg
 
Tatizo pesa za kipindi kile zilizokuwa tumewachangia wajenge vislope zilihamishwa kwenda kujenga shule ya Ihungo
 
Mimekaa Bukoba miaka saba na kwa sasa nipo Arusha ( A Town) . Bukoba bado iko nyuma sana inazidiwa hata na Tunduma , Morogoro , Kahama, Geita na Singida. Wakazi wengi Wa mji wamezaliwa na kukulia Bk na hawana exposure kabisa. Ukiwa mgeni bukoba aka mnyamuhanga na ukaanzisha bishara yenye ubunifu lazima upigwe majungu.Mimi nimekaa Rukwa, Songwe , Mbeya , Morogoro , Mwanza, Bukoba na sasa nipo Arusha.Bukoba ina mandhari mazuri sana na fursa za uwekezaji ni nyingi shida mzunguko wa pesa ni mdogo sanaaaaaa.Sijajua mpaka siku hizi bado jumapili wanafunga soko mchana. Bahati nzuri nimewahi kuwa na biashara flani hivi soko kuu la bukoba hahahaha anidanganyi MTU kuhusu Bk.
 
Kwa kweli wahaya mtanisamehe.

Mna kitu kinachoitwa "self exaltation" ambayo hii ni satanic principle. Kujikweza ndicho kilichomwangusha lucifer kutoka makao yake yaliyomhusu kule mbinguni. Na sasa amekuwa shetani.

Wahaya msipobadilika mtaendelea kutokuendela ikiwa ni pamoja na kutuletea maradhi kama UKIMWI, na kupigwa na matetemeko ya ardhi kila leo.

Badilikeni.

JESUS IS LORD!
 
Mimi ninaoa wew ndo Una matatizo ya akili na mindset mbovu sana.

Ajali ya Moto morogoro ,Corona,mabomu mbagala, mafuriko moshi na dar yanaletwa na Tabia za watu ? .

Inaonekana Una bukoba yako kichwani sio hii ya tz
 
Mimekaa Bukoba miaka saba na kwa sasa nipo Arusha ( A Town) . Bukoba bado iko nyuma sana inazidiwa hata na Tunduma , Morogoro , Kahama, Geita na Singida. Wakazi wengi Wa mji wamezaliwa na kukulia Bk na hawana exposure kabisa. Ukiwa mgeni bukoba aka mnyamuhanga na ukaanzisha bishara yenye ubunifu lazima upigwe majungu.Mimi nimekaa Rukwa, Songwe , Mbeya , Morogoro , Mwanza, Bukoba na sasa nipo Arusha.Bukoba ina mandhari mazuri sana na fursa za uwekezaji ni nyingi shida mzunguko wa pesa ni mdogo sanaaaaaa.Sijajua mpaka siku hizi bado jumapili wanafunga soko mchana. Bahati nzuri nimewahi kuwa na biashara flani hivi soko kuu la bukoba hahahaha anidanganyi MTU kuhusu Bk.
Ni wap tz hakuna majungu?

Jana Tu magari yameanza kupita flyover ya ubungo lakin watz walivyo na majungu eti haitanufaisha tz nzima.

Je umenunua kiwanja bk ukanyimwa? Au umejenga nyumba ikabomolewa?

Tatizo lenu mnaenda kwenye miji ya watu mkiogopaogopa huku mkiwa na mindset mbovu sana na mnakalilishwa
 
Back
Top Bottom