Hivi wewe kama c yingo ni nini?au umbea?yani mitaa yote umepita wewe tena subuhi hii na foleni hizi...tegeta ushapita,mbezi beach umepita...goba umepita...sinza,makumbusho umepita yote hii asubuhi...hadi chang'ombe??sasa embu nikuulize wewe mwandishi wa habari au??au mitaa yote hiyo ni junction...
conservative vipi je kwa mtumishi mpya mwenye miezi 2 kazini lakini akabahatika kupata kazi kwenye mashirika ya umma yanayojitegemea mfano BOT,TRA au NSSF,je mtumishi huyu anauwezo kwa kuacha kazi kwa 24 hr notice na kurudisha mshahara wake wa mwezi mmoja na kwenda kwenye mashirika haya bila...
kama kweli upo kwenye haya mapambano ya kutafuta ajira hutakiwi kukatishwa tamaa na idadi ya walioitwa.
jiamini wewe mwenyewe na ujue every applicant has an equal chance ya kupata kazi...afterall hakuna interview siku hizi ya kuitwa watu 10 kwa nafasi 2...idadi ya applicants inazidi kukua kila...
Ukiajiriwa kama mtumishi wa umma au government agency yoyote ambayo mishahara ya watumishi wake inatoka hazina kuna kitu kinaitwa cheque number unapata kutoka hazina,mara baada tu ya kupata hyo cheque number tayari una uhakika wa kupata mshahara wako!sasa niwaulize je kama mishahara yenu inatoka...
Kwenye maadhimisho ya miaka 38 ya CCM songea Mheshimiwa rais JK Kikwete alisema wazi wazi kuwa kuna watu wanakidhi vigezo vyote vya kupitishwa na chama chake CCM kugombania kiti cha urais...pia alisema watu hao bado hawajajitambua wanahitaji tu kushtuliwa na kuambiwa kuwa wanaweza
Sasa habari...
Kumuuliza source nina maana yangu,hiyo reference ya the guardian la trh 23.01.2015 ambayo na mm nililiona ni ile ya majina ya interview ya mara ya kwanza ambayo watu walienda lakini usaili ukawa postponed!so hyo ref aliyoitoa ni outdated!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.