Tumeajiriwa CMA Oktoba 2014 mishahara hakuna

ipogolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
6,280
Reaction score
5,989
Commission for mediation and abbirtration (CMA) ndiye mkombozi na kimbilio la waajiriwa dhidi ya waajiri wakorofi na kinyume chake.
Mie ni miongoni mwa waajiriwa wapya wa Tume hii tangu Oktoba 2014.
Mpaka leo hii hatujalipwa mshahara hata mmoja. Ni miezi minne imepita sasa hakuna kinachoeleweka.
Viongozi wakiulizwa wanasema Hazina.
1: Tutafikaje kazini?
2:Tumkimbilie nani juu ya shauri hili?
3:Nikikaa nyumbani bila kwenda kazini nitaachishwa? Probation bado hsijaisha
Kesi ya ngedere nimpelekee nani hapa?
 
pia kuna jamaa nae kajiriwa mwez huo huo huku moro nae anaambiwa hazina hawajajibu anakuja tu job
 
Tupo wengi. Je, tufanyeje sasa? Ama kweli mganga hajigangi na kinyozi hajinyoi.
 
Hivi kweli hazina anahusika apo, mbona idara zingine pouw tu
 
Commission for mediation and abbirtration (CMA) ndiye mkombozi na kimbilio la waajiriwa dhidi ya waajiri wakorofi na kinyume chake.
Mie ni miongoni mwa waajiriwa wapya wa Tume hii tangu Oktoba 2014.
Mpaka leo hii hatujalipwa mshahara hata mmoja. Ni miezi minne imepita sasa hakuna kinachoeleweka.
Viongozi wakiulizwa wanasema Hazina.
1: Tutafikaje kazini?
2:Tumkimbilie nani juu ya shauri hili?
3:Nikikaa nyumbani bila kwenda kazini nitaachishwa? Probation bado hsijaisha
Kesi ya ngedere nimpelekee nani hapa?
du poleni sana ila musife moyo pigeni kazi mlikomboe taifa
 
Tupo tu lkn afadhali hawa washanza kazi, sisi kule bado kimya ukisha mwezi huu tuwafate kwa pamoja.
 
Kumbe ndio maana mnapokea sana rushwa toka kwa waajiri nyie jamaa???
 
Ha Ha Haaa, Huo Ndo Mpango, Watatupa Vituo Tu,

Watupe tu vituo ni hatua nyingine pia, hivi hao wa usaili mwingine kujaza gap washafanya au tetesi za wadau tu ?
 
Mmh, M Huo Usail Siulew, Mana Toka October Kila Kukicha Niko Kw Mitandao, Cjawah Ona Hzo Nafas Wala Usail. Ila Kupitia Huyo CMA, Serikal Haina Hela Kwel,
 
Duuuuu, hali tete na hawa wanaoanza kazi hapa ktkati hela wanatoa wapi, tupangeni mob ya watu kadhaa next month twende. Jana watu walienda wakambiwa msubiri tu unless otherwise mleft kazi apo chacha cjui ilkuwa dharau.
 
Shauri hili tulipeleke wapi kudai haki?
Ingekuwa Idara nyingine ningeenda kufungua shauri CMA.
 
Commission for mediation and abbirtration (CMA) ndiye mkombozi na kimbilio la waajiriwa dhidi ya waajiri wakorofi na kinyume chake.
Mie ni miongoni mwa waajiriwa wapya wa Tume hii tangu Oktoba 2014.
Mpaka leo hii hatujalipwa mshahara hata mmoja. Ni miezi minne imepita sasa hakuna kinachoeleweka.
Viongozi wakiulizwa wanasema Hazina.
1: Tutafikaje kazini?
2:Tumkimbilie nani juu ya shauri hili?
3:Nikikaa nyumbani bila kwenda kazini nitaachishwa? Probation bado hsijaisha
Kesi ya ngedere nimpelekee nani hapa?

Ukiajiriwa kama mtumishi wa umma au government agency yoyote ambayo mishahara ya watumishi wake inatoka hazina kuna kitu kinaitwa cheque number unapata kutoka hazina,mara baada tu ya kupata hyo cheque number tayari una uhakika wa kupata mshahara wako!sasa niwaulize je kama mishahara yenu inatoka hazina tayari mmeshapata hyo cheque nr?
Kama hamjapata waulizeni maafisa utumishi wa CMA maana ndio wako responsible kutuma details zenu online hazina ili mpate hyo cheque nr!
 
Naona nyote mnalalamika Acheni kazi kesho kuna interview pale CMA-CAPITAL MARKET AUTHORITY
 
Back
Top Bottom