Recent content by keepsake

  1. keepsake

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji unaofanana; agrovet na hardware ipi inafaida nzuri kwa mtu anayetaka kuanza biashara?

    NIsingetaka kujua kama sina taaluma au kuhua mahitaji ya ufunguaji wa hizo venture. Nadhani ungejikita kutoa maarifa kwa ajili yangu na wengine then hiyo ya taaluma ungeiweka kama point ya vikwazo vya kuanzisha biashara hizo
  2. keepsake

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji unaofanana; agrovet na hardware ipi inafaida nzuri kwa mtu anayetaka kuanza biashara?

    Wanajamvi kama kichwa kinavyosomeka, natamani kujua biashara yenye mzunguko na faida nzuri kati ya agrovet na hardware kwa maeneo ya Mbeya. Kwa faida yangu na ya wengine naomba wazoefu na watalaamu mtupe dondoo kidogo hapa. Natanguliza shukrani
  3. keepsake

    JamiiForums Tanzania Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

    “Hayo nimewaambieni mpate kuwa na amani ndani yangu. Ulimwenguni mnayo dhiki; lakini jipeni moyo; mimi nimeushinda ulimwengu. ” — Yohana 16:33 (Biblia Takatifu)
  4. keepsake

    JamiiForums Tanzania Leo nimeamua nikomae na kitabu cha MMEA MWANZO MWISHO “HEMP”

    Second born na fourth born ilitakiwa wawe mapacha
  5. keepsake

    JamiiForums Tanzania Ulinzi kwake ni Muhimu kabla ya 13:08:2026

    One step ahead! Sir. GOD Tunahitaji kuvuka hapa
  6. keepsake

    JamiiForums Tanzania Kilitokea nini Tanzania kupoteza umaarufu wake kimataifa? Viongozi tulionao wana uwezo wa kuirejesha?

    Umetumia hekima kubwa sana kuelimisha ila tatizo ni watanzania hatutaki kutoka nje tuone mwanga kama kweli upo.
  7. keepsake

    JamiiForums Tanzania Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

    Mungu amempa mwanadamu uchaguzi huru kati ya giza(shetani au nuru(Mungu) Aliyeleta uovu ni shetani si Mungu, mwanadamu anafanya on his/her own emwill. Warumi 1 (Biblia Takatifu) ¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯ ²⁸ Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa...
  8. keepsake

    JamiiForums Tanzania Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

    “Mimi ni Bwana; ndilo jina langu; na utukufu wangu sitampa mwingine, wala sitawapa sanamu sifa zangu. ” — Isaya 42:8 (Biblia Takatifu) “Kwa ajili ya nafsi yangu, kwa ajili ya nafsi yangu, nitatenda haya; je! Litiwe unajisi jina langu? Wala sitampa mwingine utukufu wangu. ” — Isaya 48:11...
  9. keepsake

    JamiiForums Tanzania Huenda "Kuumbwa kwa watu" ndio sababu halisi iliyomfanya shetani amuasi Mungu

    “Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. ” — Isaya 55:9 (Biblia Takatifu)
  10. keepsake

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

    Tofali za kuchoma si kipomo cha hali ya uchumi ila kwa dar es alaam nadhani ni upatikanaji wa tofali kuzisafirisha ni gharama lakini pia utamaduni wa mahali na nature ya mazingira na sheria za mazingira kwa dar ni ngumu kufyatua na kuchoma tofali. Ila inawezekana kujengea na siku hizi zimekuwa...
  11. keepsake

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

    Mengi sana. Mfano nimekaa sana iringa nenda pale boma utalikuta
  12. keepsake

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma, Je tofali za kuchoma ni za maskini?

    Ni kweli na tofali haina expiredate lakini pia napenda ukipata nene na ukuta unakuwa mnene kiasi k
Back
Top Bottom