Recent content by Keenly

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilipokoswa koswa kuambukizwa UKIMWI nikiwa mdogo

    Umeleta habari nzuri
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

    Nenda tu kanisani, waambie samahani. Kila mtu humo anajua no one sio kitu kigeni kwao, na wao sio Mola kukuhukumu kutokwenda kanisani. Wakiuliza vipi sema ulikuwa unantumia mwenza wako kukoleza mahusiano yenu, hapo watakuonea wivu pia. Na walio na wivu watakusema. Pole sana ila bora hujatuma ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba kufahamu ulipo Ubalozi wa Australia

    Australian Honorary Consulate' Mahando St, Masaki, Dar es Salaam. Maeneo ya opposite na Toure Drive. +255222602584 (Google results)
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

    Kwa Mwezi wa Pili hapo, vizuri ulijionea maisha ya kiaina nyingine.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nimebarikiwa kwa kiasi kikubwa sana. Serikali Iniangalie katika hili

    Jitayarishe kabisa kuondoshwa hapo.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Hiki nini umeandika bila aibu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Wiki ijayo mbaliiiiiii............😊
  8. K

    JamiiForums Tanzania Robert Kisena afutiwa Mashitaka yote 15, Aachiwa huru

    Kumekucha
  9. K

    JamiiForums Tanzania Membe: Hutosikia tena Mtu ametekwa au kaokotwa kwenye kiroba

    Rubbish Watu bado wanapotea sema hatasemwi. Aache uchungu wake kisa kukosa uraisi.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bunge litunge Sheria ili mali ambazo hazikuandikiwa wosia zimilikiwe na Serikali inapotokea mmiliki amefariki

    Rita zinachakachuliwa pia, hongo zinatembea. Serikali isichukue labda kama wapewe wenye ndoa kwa aliyebaki na watoto wa ndoa. Wao waamue iweje hata watu wa mila wakae pembeni kisheria.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bunge litunge Sheria ili mali ambazo hazikuandikiwa wosia zimilikiwe na Serikali inapotokea mmiliki amefariki

    Tabu ipo pia wanaoachiwa wosia wanaficha ili waited wao au na ndugu.
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Boss Wangu

    Shukurani Ushauri Andika iwe tayari kwenye mfano Word doc, ukija hapa ni copy and paste. Usifanye kuchelewa mwanzoni kuendelea kumbuka lengo ni unataka kusimulia yako na sio kusaka wasomaji na kupozi. Wasomaji watakuja tu, only hadithi ya Yoga ndio inavumilika kuisubiria iendelee.
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Boss Wangu

    Karibu saa nzima sasa🤔🤔🤔
Back
Top Bottom